ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,602
- 119,753
Aaah basi sawa mkuu, kumbe wewe sio Pro Samia?Eeh mara hii nimeshakuwa pro Samia? Hii kali.. Kisa? Nilimsifia alipofanya vema? Kazi ipo wallah!

Basi mimi ni pro Samia...#Nasimama na mamaAaah basi sawa mkuu, kumbe wewe sio Pro Samia?

! Hapo vipi!Uamuzi wako tu mzee! Kila mtu si yupo huru nchi hii..au?Basi mimi ni pro Samia...#Nasimama na mama! Hapo vipi!
Usiniambie kuhusu JPM,hata yeye aliumiza watu,siwezi kusahau alivyonikosesha tender ya minara ya kampuni moja ya cm,wazungu wakagoma kutoa tender kwa sababu ya sheria kibao alizokuwa anatunga JPM, wakafungasha vyao wakasepa,ikabidi nipunguze wafanyakazi zaidi ya mia,wengine mpaka leo hawajaweza kusimama1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.
2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.
3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.
4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.
Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.
Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.
5. Mapendekezo yangu:
a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.
b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.
c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
Oookey kumbe unalijua hili? Safi kabisaaaaUamuzi wako tu mzee! Kila mtu si yupo huru nchi hii..au?

fala huyu1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na

Sidhani kama kuna tafiti yoyote inayo onyesha kwamba miamala mingi ya pesa mtandaoni zinafanywa na watu wa hali ya chini. WaTz hatufanyi tafiti - ila kitu kinacho ongelewa na wengi kinachukuliwa ndio uhalisia. Mtu wa hali ya chini hana pesa ya kutuma kwenye simu. Mimi naamini Miamala mingi inafanywa na watu wenye pesa zao - hasa wafanya biashara, madalali na watu waliokuwa wanafanya biashara za mitandaoni. Halipi kodi ya pango, hana liseni yoyote na vile vile halipi ushuru wowote. Yeye anakusanya pesa tu mtandaoni. Nchi haiwezi Kujitegemea bila wananchi kutoa mchango. Wazo la kutoza miamala ni zuri labda liboreshwe kwa kupunguza asilimia ya makato.1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.
2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.
3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.
4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.
Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.
Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.
5. Mapendekezo yangu:
a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.
b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.
c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
Sasa mbona ulishangaa mimi kukuita pro Samia? It's your constitutional right mzee! Kama mimi nilivyokuwa pro Magu..Oookey kumbe unalijua hili? Safi kabisaaaa![]()

Hapa unazungumzia Tanzania au nchi gani? Watanzania wengi ni waoga hakuna anaeweza kujitoa mhanga akaandamaneMawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.
JWTZ huu uhuni inabidi ifike wakati tuseme imetosha.Unashauri yaliyofanywa na makomandoo kule Haiti yafanywe hapa Tanzania ?
Wale mabalozi wake wa kodi walee kuna kituMwigulu yuko jikoni tena a ajipakulia tu kiasi cha kutosha mchako wa urais kama anavyotaka mwisho wa siku hakamatiki
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
hivi siku ya wajinga huwa ni mwezi gani vile ?1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.
2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.
3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.
4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.
Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.
Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.
5. Mapendekezo yangu:
a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.
b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.
c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
Watoto wa naolishwa hivyo mwisho Wa Siku wanakuja kuwa mazezeta,maana msosi unazidi unakimbilia kichwani.Mtoto mzito hadi bwana tozo anashindwa kumnyanyua.
Asubuhi chai,
Saa 4 maziwa,
Mchana mlo,
Saa 9 midtea
Usiku Mlo
Wewe toa hela ya uzalendo