Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Bajeti ilibebwa na watumishi na walevi, sasa imewagusa na wanaharakati na wanamapinduzi wa mitandaoni, tutasikia mengi.
KAZI IENDELEE
 
Bajeti ilibebwa watumishi na walevi, sasa imewagusa na wanaharakati na wanamapinduzi wa mitandaoni, tutasikia mengi.
KAZI IENDELEE
 
Yaani vocha iyo iyo nailipia VAT hahafu nailipia solidarity fund ?
 
1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia mjengoni imeanza rasmi.
Tetesi zinadai kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu upuuzi wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu :

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.
b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo
c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
Unashauri yaliyofanywa na makomandoo kule Haiti yafanywe hapa Tanzania ?
 
Mnataka mama aseme kitu gani wakati suala hili halijaletwa kwa wananchi kwa ghafla au kwa uamuzi wa mtu mmoja!

Ishu kama hizi ni lazima baraza la mawaziri au kamati za bunge zilitoa baraka

Tangu siku ya kwanza nilikuwa na doubt snaa na uwezo wa huyu Bibi.

Maneno maneno mengi ya Kiswahili akidhanj ndiyo njia ya kuongoza. Ni mambo Ukwere

Mara hii wamegusa pabaya na litawatokea puani
 
Mtoto mzito hadi bwana tozo anashindwa kumnyanyua.
Asubuhi chai,
Saa 4 maziwa,
Mchana mlo,
Saa 9 midtea
Usiku Mlo

Wewe toa hela ya uzalendo
Mtoto anasoma Feza school ada milion 12,baba waziri wa fedha unategemea awe na utapiamlo kama wa kwako anayesoma kalangalala primary school
 
Tangu siku ya kwanza nilikuwa na doubt snaa na uwezo wa huyu Bibi.

Maneno maneno mengi ya Kiswahili akidhanj ndiyo njia ya kuongoza. Ni mambo Ukwere

Mara hii wamegusa pabaya na litawatokea puani
Kwa hiyo unasema tumepigwa au
 
Kwa hiyo bado anaupiga mwingi au kiungo kimekufa hakimlishi mipira

Hajawahi kuupiga mwingi. Nchi haiongozwi na maneno ya taarabu.

Hatufai!

Katiba ibadilishwe, hatutaki urais wa kurithi au urais wa by the way.

Rais akifia madarakani, uchaguzi mdogo ufanyike. Lakini sio kurithi kiti haya ndiyo madhara.
 
Hajawahi kuupiga mwingi. Nchi haiongozwi na maneno ya taarabu.

Hatufai!

Katiba ibadilishwe, hatutaki urais wa kurithi au urais wa by the way.

Rais akifia madarakani, uchaguzi mdogo ufanyike. Lakini sio kurithi kiti haya ndiyo madhara.
Anapwaya sana,hapo amekuwa vice miaka mitano na still ana backup ya mzee wa msoga
 
Mama inabidi arudi nyuma, ajitafakari kisha aje na namna ya kufanya maamuzi yake. Atumie uwezo wake kufanya maamuzi.

Akiendelea kufurahisha watu au kutegemea watu mwisho hautakua mzuri na atagombana na wengi.

Aliyemtangulia alijipambanua kwa kuwa na misimamo yake na kuisimamia, mibaya imetuumiza kama taifa, mizuri imetufunza na kutujenga, atakumbukwa kwa hilo la kusimamia maamuzi.

Huyu watampelekesha sana kwa manufaa yao binafsi.
 
Mnaosema mama anachafuliwa, hamjui kua haya mambo na yeye kayapitisha. Yeye, mawaziri wake na wabunge wake wote lao moja.

Mama hakwepi hizi lawama ni zake 100%. Kitachofanya raisi aisiwe anabebeshwa mzigo wa lawama ni katiba mpya tuuu.

La sivyo yeye ndie mtendaji mkuu wa upuuzi wote huu.
 
Tangu siku ya kwanza nilikuwa na doubt snaa na uwezo wa huyu Bibi.

Maneno maneno mengi ya Kiswahili akidhanj ndiyo njia ya kuongoza. Ni mambo Ukwere

Mara hii wamegusa pabaya na litawatokea puani

Anang'ata na kupuliza
 
Back
Top Bottom