Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Ukweli ni kwamba ; Hawa wapuuzi wamechukua NCHI kwa kurithi na kwa FITNA zao na VITIMBI walivyofanya dhidi ya JPM kwa kushirikiana na Wamagharibi.

Wameingia madarakani kwa kurithi wamekuta JPM alikuwa anafanya projects kubwa na hawajui Fedha alikuwa anatoa wapi huyu CHUMA. Kumbuka pia JPM aliachiwa nchi kutoka kwa mkwere ikiwa haina kitu HAZINA, Na safari yake ya kwanza alianzia hazina . Nchi ilikuwa haina hata senti, the aftermath ya utawala wa JK

Kwa aibu yao na hawajui the magic secret ya chuma kwa kusimamisha miradi mikubwa fedha zilikuwa zinatoka wapi, wameona njia pekee ya kupata fedha za kuendeleza miradi iliyoachwa ni kuwachukulia wananchi fedha zao .

Walianza kwenye mafuta, now wapo kwenye Miamala, na hakika wataendelea tu kwa sababu nchi imeshikwa na VIAZI na they do not know what else to do zaidi ya hili wanalofanya.

Nchi ina Bandari zaidi ya 3, nchi ina gesi, National Parks , madini, mazao, maziwa nk nk , kweli wanashindwa kukaa chini na wataalam na kubadili hizi resources into CASH na kupunguza ukali wa maisha kwa RAIA, badala yake wameona wafanye UJAMBAZI.

Ukienda kwenye mshahara wa mtumishi kuna PAYE, simu kuna KODI ya miamala, ukifungua kibiashara chako kuna Kodi ya kutosha, ukiweka petrol kuna kodi.... yaani ni ishara kwamba hawa watu ni MUFILISI, na kwa hakika CCM haiwezi kuleta mabadiliko katika nchi hii.

Over 60’years tunajadili upatikanaji wa maji safi, upatikanaji wa dawa muhimu, upatikanaji wa barabara , ujenzi wa vituo vya afya yaani kila rais anayeingia ni mwimbo huo, hivi nyie hamuoni kuwa CCM imefika UKINGONI?

Njia pekee ni KATIBA MPYA, ikiwa ni pamoja na kuitoa CCM madarakani kama kweli tunataka KUINUSURU nchi yetu, ni lazima CCM ITOKE .
Kutoka MOYONI kabisa, NINAMCHUKIA NA NITAIFUNZA FAMILIA YANGU KUMCHUKIA HUYU BIBI NA KUWA KATIKA UPANDE WA KILA ANAEMCHUKIA huyu Bibi na kila nikiona hotuba ya huyu Bibi anasimama na kuongea ninazima TV maana sitaki kusikia TAARABU zake.

Kwanza anaonekana ni MZITO sana wa kuelewa na maamuzi na pia masikio yake yanasikia kelele nyingi sana. Hivi mshauri wake ni yule Mzenji?
 
Mtoto mzito hadi bwana tozo anashindwa kumnyanyua.
Asubuhi chai,
Saa 4 maziwa,
Mchana mlo,
Saa 9 midtea
Usiku Mlo

Wewe toa hela ya uzalendo
Hiyo ni dalili ya Obesity. Ni utapiamlo wa kufakamia chakula kwa wingi. Na kuonesha kwamba fedha si tatizo, anasoma Feza.
 
Hapa unazungumzia Tanzania au nchi gani? Watanzania wengi ni waoga hakuna anaeweza kujitoa mhanga akaandamane

Nakubali. Watanzania ni waoga na kila mtu anaogopa kufa. Utaogopa kufa hadi lini? Na kufa utakufa. Kuogopa huku unapata maumivu ni ujinga. Lazima ifike mahali tuamue
 
Sidhani kama kuna tafiti yoyote inayo onyesha kwamba miamala mingi ya pesa mtandaoni zinafanywa na watu wa hali ya chini. WaTz hatufanyi tafiti - ila kitu kinacho ongelewa na wengi kinachukuliwa ndio uhalisia. Mtu wa hali ya chini hana pesa ya kutuma kwenye simu. Mimi naamini Miamala mingi inafanywa na watu wenye pesa zao - hasa wafanya biashara, madalali na watu waliokuwa wanafanya biashara za mitandaoni. Halipi kodi ya pango, hana liseni yoyote na vile vile halipi ushuru wowote. Yeye anakusanya pesa tu mtandaoni. Nchi haiwezi Kujitegemea bila wananchi kutoa mchango. Wazo la kutoza miamala ni zuri labda liboreshwe kwa kupunguza asilimia ya makato.

Sheria ya Majadiliano; unaposema kuwa hakuna tafiti iliyowekwa kuonesha kwamba transactions nyingi hufanywa na middle na lower class; unatakiwa kuweka tafiti yako inayosema transactions nyingi hufanywa na watu wenye fedha nyingi ( Matajiri) , otherwise huna ethics za mawasiliano na haupo informed vyema.

By the way ... jifunze kwanza ku define middle class na Lower Class ndiyo tujadili hili kwa mapana.
 
Usiniambie kuhusu JPM,hata yeye aliumiza watu,siwezi kusahau alivyonikosesha tender ya minara ya kampuni moja ya cm,wazungu wakagoma kutoa tender kwa sababu ya sheria kibao alizokuwa anatunga JPM, wakafungasha vyao wakasepa,ikabidi nipunguze wafanyakazi zaidi ya mia,wengine mpaka leo hawajaweza kusimama

Nimekusoma
 
Mkuu fuatilia Ziara za Rais wa awamu ya 4 na anazofanya huyu wa Sasa angalia ni nchi zipi anazozipa kipaumbele ?? Utakuta ni zile zile.

Angalia Nchi ambazo Rais wa awamu ya 4 alikua na ukaribu nazo na huyu wa sasa. Utakuta ni zile zile.

Jaribu tu kufuatilia mahusiano ya Tanzania na nchi zifuatazo awamu ya nne na hii ya sasa.

Marekani, Kenya, Burundi, Uganda, Jumuia ya Ulaya, China ( yalikua mazuri awamu ya 4 na hata sasa).

Rwanda ( mabaya awamu ya 4 Kwa Sasa Sina hakika kama ni mazuri).

Sasa mwenyewe itakua umepata picha kidogo.

Critical analysis. Upo vyema Mkuu.

Rimoti nyuma ya Rimoti. Hapa kuna UKAKASI. Rais akiwa remoted ni hatari snaa . Ndio manaa Ngosha hakupendwa kwa misimamo yake
 
Doh una kizazi kweli ndugu yangu? Mungu mkali angalia hayo maneno unayoyasema hasije kulidisha kwenye kizazi chako , Mpesa mpesa kwani lazima utumie? Kama hauna uwezo si uache

na akiendelea kusikiliza kelele za wana mitandao atapotea pia , kila mwananchi atataka kitu chake

mama mwendo ni ule ule wakupende wasikupende hachana nao , Jk alitukanwa sana Akita shauli na Mila majina enzi za JPM wakaanza kumuona Jk shujaa

sasa hivi JPM anaoneka shujaa tena wanakuponda wewe husikate tamaa, fanya unaloona ni sawa kwa maendeleo ya Nchi Raisi ni mmoja hacha na maoya Kua wa mitandaoni

Unacho wewe
 
Hahah si ndo wanasema mama anaupiga mwingi..hili la tozo ni muendelezo wa matope tu kama ilivyo kawaida yetu...
 
JPM mlimsema hivi hivi , na mama akiondoka mtamsifia pia hivi hivi same as Mwigulu

mama Samiha kanyaga twende tumechelewa sana , binadamu hata uwape nini hawalidhiki
Kwanza hiyo miamala sisi wana ccm haituhusu ni nyie wapinzani tuuuuu
 
1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu:

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.

b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.

c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.

Mimi ni CCM kindakindaki na ni UVCCM nimeitumikia serikali kwa miaka mingi na nitaendelea kuitumikia ila ninakubali kwa moyo kunjufu kwamba CCM haitoweza kutuletea maendeleo na huyu Mama ni bomu kuwahi kutokea. Kifupi namfananisha na Rais wa Aljeria yule mwenye kiharusi( Brain Stroke). Yaani nchi inaongozwa na watu wengine kabisa, yeye anatumika kama taswira tu katika jamii, ndiyo huyu Mama.

Vijana wanamzidi nguvu na mbaya zaidi she is not smart yaani hana uwezo wa kuona mita 100 mbele kabla ya muda. Ni majanga ***** nchi hiyo sijui ililogwa na nan.

Njia mpya ni katiba bila kujali kama tunaupinzani thabiti.

Mimi naona ni bora tupigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ilimradi ccm itoke.
Halafu WaTZ msiogope, nchi zote zilizoendelea , wametifuana kwanza wenyewe kwa wenyewe ndio wakaheshimiana yaani kila mtu anamuheshimu mwenzie, sio kiongozi sio tajiri sio masikini wanaheshimiana kwa sababu wakikumbuka damu walizomwaga baina yao , hawataki kurudia tena hilo kosa.

WaTZ hili ni lazima litokee ili muheshimiane na muwe na maendeleo. Tofauti na hapo CCM itawatia kidole milele. Kwani polisi ni wangapi? Na Raia ni wangapi?!Polisi hawafiki hata laki 7 . Amueni
 
IMG_5677.jpg
 
Ukweli ni kwamba ; Hawa wapuuzi wamechukua NCHI kwa kurithi na kwa FITNA zao na VITIMBI walivyofanya dhidi ya JPM kwa kushirikiana na Wamagharibi.

Wameingia madarakani kwa kurithi wamekuta JPM alikuwa anafanya projects kubwa na hawajui Fedha alikuwa anatoa wapi huyu CHUMA. Kumbuka pia JPM aliachiwa nchi kutoka kwa mkwere ikiwa haina kitu HAZINA, Na safari yake ya kwanza alianzia hazina . Nchi ilikuwa haina hata senti, the aftermath ya utawala wa JK

Kwa aibu yao na hawajui the magic secret ya chuma kwa kusimamisha miradi mikubwa fedha zilikuwa zinatoka wapi, wameona njia pekee ya kupata fedha za kuendeleza miradi iliyoachwa ni kuwachukulia wananchi fedha zao .

Walianza kwenye mafuta, now wapo kwenye Miamala, na hakika wataendelea tu kwa sababu nchi imeshikwa na VIAZI na they do not know what else to do zaidi ya hili wanalofanya.

Nchi ina Bandari zaidi ya 3, nchi ina gesi, National Parks , madini, mazao, maziwa nk nk , kweli wanashindwa kukaa chini na wataalam na kubadili hizi resources into CASH na kupunguza ukali wa maisha kwa RAIA, badala yake wameona wafanye UJAMBAZI.

Ukienda kwenye mshahara wa mtumishi kuna PAYE, simu kuna KODI ya miamala, ukifungua kibiashara chako kuna Kodi ya kutosha, ukiweka petrol kuna kodi.... yaani ni ishara kwamba hawa watu ni MUFILISI, na kwa hakika CCM haiwezi kuleta mabadiliko katika nchi hii.

Over 60’years tunajadili upatikanaji wa maji safi, upatikanaji wa dawa muhimu, upatikanaji wa barabara , ujenzi wa vituo vya afya yaani kila rais anayeingia ni mwimbo huo, hivi nyie hamuoni kuwa CCM imefika UKINGONI?

Njia pekee ni KATIBA MPYA, ikiwa ni pamoja na kuitoa CCM madarakani kama kweli tunataka KUINUSURU nchi yetu, ni lazima CCM ITOKE .
Kutoka MOYONI kabisa, NINAMCHUKIA NA NITAIFUNZA FAMILIA YANGU KUMCHUKIA HUYU BIBI NA KUWA KATIKA UPANDE WA KILA ANAEMCHUKIA huyu Bibi na kila nikiona hotuba ya huyu Bibi anasimama na kuongea ninazima TV maana sitaki kusikia TAARABU zake.

Kwanza anaonekana ni MZITO sana wa kuelewa na maamuzi na pia masikio yake yanasikia kelele nyingi sana. Hivi mshauri wake ni yule Mzenji?

Movement ya kuitoa ccm ianze sasa hivi. Wamemuua jpm m.nina zao sasa nchi inawashinda. Wanajiuliza huyu mwamba pesa za project zote alikuwa anatoa wapi. Hawana majibu kilichobaki ni kuvamia raia. Mradi wa bagamoyo utajenga vipi bila kuvamia raia. jpm alikuwa akili kubwa na na mkweli, nasema uongo ndugu zangu ?
 
1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu:

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.

b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.

c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
hivi siku ya wajinga huwa ni mwezi gani vile ?
 
Back
Top Bottom