Nyuma ya Pazia - Mwigulu Nchemba

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,199
3,882
1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia magogoni imeanza rasmi zikiambatana na
tetesi kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu UPUUZI wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu:

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.

b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo.

c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
 
Dah mwigulu kafikia hatua ya kuitwa Kenge😀😀😀😀
IMG-20210716-WA0007.jpg
 
3. Hakika huu upuuzi wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.
 
1. Safari ya matumaini ya Nchemba kuingia mjengoni imeanza rasmi.
Tetesi zinadai kwamba idea ya TOZO za miamala ni katika jitihada za kumpeleka Mama shimoni.

2. Siku 100 za Mama na haya ya tozo yamedhihirisha kwamba Samia ni big NO. Na hawa vijana wenye uroho wa URAIS ndio wanachochea moto ili wananchi wawe na kutu dhidi ya Mama.

3. Hakika huu upuuzi wa miamala JPM asingeweza kuukubali. Na angekuwa ameshamtumbua huyu KENGE. Kwanza, asilimia kubwa ya miamala ya simu hufanywa na watu wa hali ya chini na middle class. Matajiri wengi hawana hizo mambo za kurushiana fedha kwenye simu.

4. Aidha, biashara nyingi za wakala hufanywa na lower class na middle class ambao kimsingi wamepigwa TOFALI la kichwa.
Pili, wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Nadhani Mama ameamua kuwa TOURIST, ndani ya miezi 3 ameshasafiri zaidi ya mara nne nje ya nchi, ofisi ya Rais Ipo wazi, Ofisi ya Waziri Mkuu ipo wazi. Hivi mnajua gharama na posho ya kumsafirisha Rais na Waziri Mkuu nje ya nchi ? Ni hatari sana.

Pamoja na mapungufu yake ya kibinaadam, lakini JPM alimaanisha mengi sana katika taifa la Tanzania na maslahi mapana ya Taifa . Samia ( Sikia) amekuwa mwenye kiherehere sana na wamagharibi,.... nadhani kuna Rimoti nyuma yake inayomfanya kudumaza decision making skills yake.

5. Mapendekezo yangu :

a. Katiba mpya iendelee kuwa ni agenda ya taifa, shule zote ziimbishwe katiba mpya. Ni lazima CCM ikae pembeni ili nchi iwe na nidham na kujali. CCM haitoweza kuwa sehem ya maendeleo ya Tanzania, imedhihirika na kuthibitika hivyo.
b. Mawakala wote wakisaidiwa na mabank wafanye Mgomo na maandamano dhidi ya upuuzi wa tozo
c. Vyama vyote vya upinzani viandae maandamano yenye lengo la kueleza hisia zao dhidi ya muelekeo wa nchi na umuhimu wa katiba ya nchi na mabadiliko ya kodi yenye lengo la kuwafanya watu watu mwa.
Ngoja Covid ban iishe, itakuwa kama kunguru, anakaa
 
wakati watu hawaamini, na kwa masikitiko makubwa huku wakitegemea Rais aseme kitu , Mama ameenda kula shushu Burundi kwa kutumia kodi za mawakala hao hao na jopo lake wanaoitafuna National keki.

Mnataka mama aseme kitu gani wakati suala hili halijaletwa kwa wananchi kwa ghafla au kwa uamuzi wa mtu mmoja!

Ishu kama hizi ni lazima baraza la mawaziri au kamati za bunge zilitoa baraka
 
Back
Top Bottom