Nyuma ya pazia Bunge live


wewe bibi mbona ni mjinga kiasi hicho,tunasema nini na wewe unaongea nin?Tatizo hizo feeder za bunge zinakatisha matangazo ikifika kipindi cha wabunge kuwasilisha michango yao.Saiv maswali na majibu mpaka saa 7 live,ila tukirudi saa 10 ndio wanakata,woga wa nini/
 

Wewe wacha porojo, mngoje mbunge wako jimboni akushughulikie.
 
Wewe wacha porojo, mngoje mbunge wako jimboni akushughulikie.

Umeishiwa,pumzi imekata!Subiri tupambane bunge lirushwe halafu mtakuja kusifia serikali sikivu ya ccm.Ndivyo akili zenu mgando zilivyo
 

okay,basi kusiwe na mijadala bungeni,mambo yawe kimya kimya.Yakishapangwa na serikali pamoja na kamati za bunge ndio iwe basi.Wabunge wakatekeleze kimya kimya.Si ndicho unajaribu kusema?
 
okay,basi kusiwe na mijadala bungeni,mambo yawe kimya kimya.Yakishapangwa na serikali pamoja na kamati za bunge ndio iwe basi.Wabunge wakatekeleze kimya kimya.Si ndicho unajaribu kusema?
Hujaelewa.soma upya
 
Hujaelewa.soma upya
wewe ndio hujaelewa.Point yangu ni kuwa kuna watu wenye influence moja kwa moja kwa serikali,kama mawaziri ambao pia ni wabunge.Hawa ni rahisi kuweka vipaumbele kwenye maeneo walikotoka,hawahitaji kupiga kelele bungeni kusikilizwa na serikali.Kuna mbunge aliwahi kuelezea hali mbaya jimboni kwake ikambidi waziri afunge safari kwenda huko kuangalia na ikabidi bajeti itengwe kutokana na udharura kwa eneo lile.Serikali itajuaje changamoto ulizonazo jimboni kwako kama wewe ni bubu?Ukiwaiga hao akina lowassa kuwa wako kimya ila majimboni kwao safi utapasuka msamba,wana namna ya kutatua changamoto zao bila hata ya kuisubiri serikali.
 
Tatizo hamjadili nini kimezuwia mjadala. Je ni sheria iliyotungwa bugeni au kanuni ya bunge? au ni maagizo ya JPM ? Ukijua kiini cha tatizo ni rahisi kulimaliza,usipojua utabaki kulialia na kulalamika kama timu ya "tumeibiwa".

Siafikiani hata kidogo na Sheria iliyotungwa kuzuwia bunge kuonyeshwa ila siafikiani zaidi na upuuzi wa kulalamika.

Tuwashauri wabunge makini kuwasilisha hoja kuondoa upuuzi wa kuficha habari. Ninawaomba
wataalam wanaopitia mtandao huu walio macho na masikio ya Serikali na waliowaaminifu kwenye viapo vyao wafikishe ujumbe kwa JPM ( maana masalia ya wahuni wa kuzungusha mikono bado wamesalia) amwagize Mh.Nape awasilishe muswada wa kuondoa sheria za kuwalinda kina Joka la Makengeza.

JPM kaamua kuwatumikia waliompa ushindi bila kununua awape wanachokitaka ili na walionunuliwa na fedha haramu wafaidi na kuujua uzuri wa msamaha. Bunge liruhusiwe kurushwa wazi.
 
wewe bibu
Kuonyeshwa au kutokuonyeshwa live kunawapunguzia nini Wabunge uwezo wao wa kujenga hoja na kuisimamia Serikali.
je kuonyesha kunawapunguzia nini Wabunge uwezo wao wa kujenga hoja na kuisimamia Serikali?
 
um


umefanya tathmini ukajua hasara ni zipi na faida ni zipi?
Na ndiyo maana tunajadiliana hapa,na nimetaja hasara moja ya wabunge kufanya mambo ya ajabu na kutukana bungeni,hali hii inakosesha bunge heshima. Hili ungezeko la watu kutizama bunge si kwa sababu zinazotolewa humu ila ukweli ni hivyo vituko na fujo zinazotokea bungeni.
 
Wewe wacha porojo, mngoje mbunge wako jimboni akushughulikie.
sawa namngoja AMBROSE PETER LIJUALIKALI akirud tufanye yetu maana kama wana kilombero wangepitisha takataka ya kijani ingekua harufu kali ya ushuz
 

kama ni hivyo,kwanini isiangaliwe namna ya kuwadhibiti wanaotukana?mkono ukichafuka unaukata?unauosha na maisha yanaendelea.Kuna mabunge mpaka wanapigana lakini bado wanarusha live.cheki hii,
 
Mada iko kwenye kuonekana live. Kwani hizo hoja haziwez kutoka had wawe live? Wapiganie haki zetu na wawe wanarudi kutupa mrejesho majimboni kwetu sio kila siku tuwe tunawaona kwenye tv. Tunataka maendeleo sio nani kasema nini bungeni.
 
cc: FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…