Nyoshi El Sadat Akiri Kuwa Anajichubua na akasema yafuatayo

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281

,

Katika Kipindi cha Mboni Show Siku ya leo Topic ilikuwa ni kuhusu Wanaume Kujichumbua kwa kutumia Mkorogo, katika kipindi hicho Nyoshi El Sadaat Alikuwa ni mgeni mmoja wapo na Alipoulizwa kama anatumia Mkorogo Akakubali na Kusema alianza kutumia kutoka mdogo akiwa na umri wa miaka sita ...lakini Alienda mbali zaidi kwa kutoa ushauri kuwa kama bado hujaanza kujichua wasijisubue kwasababu kuna madhara yake wao wanajichua kwasababu ni Wasanii

pia amesema mtu anaojichubua anaonekana mzuri zaidi,na wasichana wengi wanapenda mwanaume mweupe kwa sababu ana mvuto zaidi kuliko mwanaume mweusi.
na amesema yeye anatumia mkorogo halisi aliotengeneza mzungu na anasema hauna madhara,wanaopata madhara ni wale wanaochanganya vitu vingi kama jik,acid,na vitu vingine zaidi

amsema uwa anasifiwa sana na watu eti mzuri anang'aa sababu ya weupe wake.

lakin kwa utafiti wangu mimi money stunna nimegundua ni kweli wanawake wengi upenda mwanaume mweupe pengine sababu ni ulimbuken au ndio chaguo la mtu,na alisema watanzania zaidi ya asilimia 60 wanatumia mkorogo caro light,je kwa nin watu wanajichubua ukitolea mfano mwingine wa wasanii kama Ray ukiona maagizo ya kaole kipind kile alikuwa mweusi tii,sasa hiv anang'aa je weupe ni habari ya mjini?
 
''pia amesema mtu anaojichubua anaonekana mzuri zaidi,na wasichana wengi wanapenda mwanaume mweupe kwa sababu ana mvuto zaidi kuliko mwanaume mweusi.
na amesema yeye anatumia mkorogo halisi aliotengeneza mzungu na anasema hauna madhara,wanaopata madhara ni wale wanaochanganya vitu vingi kama jik,acid,na vitu vingine zaidi!!

Toba! Yaani mpaka Acid?????
 
Zaman ilikuw Afrika ya watu weus sasa waafrika wanaukana weus wao hadharan, yaani kuwa m2 mweus kunawapotezea mvuto wanautaka weupe ili wapendwe! aibu gani hii jaman! na hawaishii kujichubua 2 hadi nywele nazo wanaweka dawa ili wafanane na wazungu! aisee!
 
Katika Kipindi cha Mboni Show Siku ya leo Topic ilikuwa ni kuhusu Wanaume Kujichumbua kwa kutumia Mkorogo, katika kipindi hicho Nyoshi El Sadaat Alikuwa ni mgeni mmoja wapo na Alipoulizwa kama anatumia Mkorogo Akakubali na Kusema alianza kutumia kutoka mdogo akiwa na umri wa miaka sita


Yani amejichubua tangu ana miaka sita halafu hadi leo bado mikono myeusi kama katoka kupima mkaa!

Au anajipaka mkorogo kwa kutumia miguu wajameni??

Loh, aache tu kwa kweli.
 
Zaman ilikuw Afrika ya watu weus sasa waafrika wanaukana weus wao hadharan, yaani kuwa m2 mweus kunawapotezea mvuto wanautaka weupe ili wapendwe! aibu gani hii jaman! na hawaishii kujichubua 2 hadi nywele nazo wanaweka dawa ili wafanane na wazungu! aisee!

Stupid mental slavery!
 
na kuvaa mawigi ameanza akiwa na miaka mingapi? Huyu jamaa ni bwabwa aisee!


 
Nyambafu ulimbukeni tu wanawake wanapenda mwanaume watanashati nadhifu sio kujichubua amekua kama nyani
 
kujichubua kwa wanaume wa kikongoman ni kama utamaduni kwao, inawezekana huko kongo mademu wa huko ndio wanazimika na wanaume weupe!
 
Loh! alomwambia mwanamme kujichubua nani? yani hapo yeye na mwanamke wake wanapigana vikumbo kwenye kioo!
Asara kua nakituko kama hicho sasa anajichubua pesa ataitafuta saanagapi? au anangoja kupewa na ma suger mammy?
 
Back
Top Bottom