Kati ya picha za matukio ninazofurahia kuziona kwenye vurugu za Egypt ni ambapo raia wanakuwa wamepanda Vifaru na wana wanajeshi.... I really like that... Natamani na wanajeshi wa Tanzania wangekuwa kama wa Egypt...tungefika mbali.. They are very friendly to people.
Time has come for Mubarak to surrendor now!
Hii nyomi lazima imng'oe Mubarak leo.
Million Man March - Tahriri Square
Said Mwema, Mwamunyange na Shimbo mnaona majeshi proffesional yanvyobehave?
Hii nimeipenda sana! Kwa mwendo huu sidhani kama Mubarak ana siku nyingi!!!....Big up wamisri...:clap2::clap2::clap2: