Nyomi hii - Mubarak bye bye!!!!!!!!!!!!!!!!!

Nyomi hii - Mubarak bye bye!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mubarak kisha lainika. Ataitisha uchaguzi mwezi wa 9 na yeye hatagombea!! Source CNN

Tatizo wa-misri wanataka mpaka kufikia ijumaa awe ameng'oka...yeye anawaletea habari za mwezi wa tisa....
 
Du mimi naona bado atapumulia mbali kundi lake si dogo
 

Attachments

  • Kundi la Muba.jpg
    Kundi la Muba.jpg
    38.3 KB · Views: 57
Back
Top Bottom