Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Yaani mimi nimefungua mlango nataka kutoka . Pale nje alikuwepo nyoka anakuja anaelekea kwenye mlango. Mimi nakwenda kuufungua mlango,sina habari ,huko nje yupo nyoka mkubwa anaelekea kwenye mlango. Nyoka ananiona mimi nimesimama pale,lakini bado anaendelea kuja.. Basi nimeufunga mlango nimerudi ndani. Maana yake ningefika kwenye nukta tano baadaye,mimi na yule nyoka tungefika kwenye mlango kwa pamoja,kwa hiyo ningefungua mlango na nyoka angekuwa miguuni kwangu.
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.

Ka ma ni nyoka kumwita m.linzi amwue na yeye kusema hana bunduki.....sasa analinda kwa ngumi.?may be some thing else.
 
Someone took me to task,a language purist,anauliza unajuaje nyoka ni he au she. Wewe ungemwita tu,it. Sawa. Hiyo ndiyo maana. Buddhists wanasema lazima tufikie nirvana so that the emotions do not interfere with the work of the mind. In this case,nimechachatika nimesahau sheria za sarufi.
 
Someone took me to task,a language purist,anauliza unajuaje nyoka ni he au she. Wewe ungemwita tu,it. Sawa. Hiyo ndiyo maana. Buddhists wanasema lazima tufikie nirvana so that the emotions do not interfere with the work of the mind. In this case,nimechachatika nimesahau sheria za sarufi.

Hahahaha.....huyu jamaa akili zake zimepitiliza.... ni super genius..... hapa Baba wa taifa amezaa jembe.....
 
Safi sana Andrew Nyerere, hii ndo Jamii Forums tunayohitaji hasa. Binafsi nashangaa maana kwa asili nyoka aina hiyo si rahisi kuanzisha vita na binadam na hasa kwenye mazingira ya uwazi kiasi hicho. Kiburi hiki anakipata wapi? Mbele ya mwenye nyumba mlangoni kwako!? Lakini ndugu yangu badala ya wasaidizi wako kuamua hatima ya jambo hilo ya nini kutumia walinzi tena baada ya wewe kubamiza mlango paaaaaa na kukimbilia ndani? Kazi nzuri hata hivyo.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,Nyerere,bado unatumia supu ya mawe aka machozi ya Simba?wakati naishi huko nilikuwa nasikia unatumia vitu hivi.Hata nilipokuwa nakuona afya yako ilikuwa inaonyesha imezidiwa na hicho kimiminika.
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.
Angalia Endrew
isije ikawa ule utabiri wako wa juzi ndiyo unaanzia kwako!
 
nyoka.....he was....he did not.....he.......and this thread he is not...............puuuuuuhhh

Huyo nyoka hakuwa na mkewe kweli? HE, probably might have a wife, doesn't he?
 
mara zote huwa nakuwa wa mwisho kukuelewa....lets me wait and see,

Tuko pamoja mkuu, huyu mdau kumwelewa unahitaji uwe jirani nae sana.

Nahisi huwa anapost mada kwa ajali yake tu.!!!
 
Mbona umenitenga sana ni nini mbaya?

Nikutenge mie Honey Faith..? Katu asilani haitowezekana.. nakumiso ujue..

Ila nisaidie umetoka na lolote hapa..? Nsharudia kusoma mara kadhaa.. kama ni fasihi basi hii imetamalaki lol..
 
Last edited by a moderator:
Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.
Mkuu sorry kwa tukio hili, ila nahisi leo hapo Butiama ama kuna mawingu, au mwezi mpevu!. Hili bandiko lako halijatulia kabisa tangu mwanzo!, hivyo naiona dalili ya ile hali yako ya zamani ulipokuwa Msasani, imekurudia!. Huwezi ku disclose sensitive security detailed information kwenye public domain!. Huyo askari wa hapo kwenu should have known you better, hakupaswa kukuambia hana bunduki, bali alipaswa kukuambia anaifuata, kwa sababu the way I see it, usikute hata huyo nyoka hakuwepo wala hakukuwa na nyoka yoyote!, bali ulikutwa na hali inayoitwa "highest state of mind suggestibility!", utaona chochote tena ungeweza hata kupiga kelele, kumbe hicho unachokiona is non existance bali kiko only on your mind!.

Mode: Jina la Andrew Nyerere ni very famous, hivyo nyinyi kama modes wa jf mlipaswa kuwa na profiles za haws famous people na kujua ni watu wa state ya aina gani, ili siku ya siku, wakipandisha kitu ambacho hakijakaa sawa, it is you duty to help them by protecting them, na kukihifadhi hicho kilichopandishwa for his own good and for jf good!.

Kipimo rahisi cha kuijua state ya mwandishi ni kujiuliza tuu, "what is the motive behind!".

Pasco
 
Yule polisi labda alikuwa anafikiri kama wewe kwamba kuna mwezi mpevu,kwa nini huyu jamaa anasema nije na bunduki. Lakini wewe labda unatumia. L. S. D kwa sababu unasema hakuwepo nyoka,kwamba. I was just suffering from hpersuggestibility.
 
Kaka Andrew wachache sana watakuelewa kwani fasihi uliotumia hapa makanjanja na slow learners wangempata Prof Mwaikyusa (RIP) angewasaidia. Mimi nimekuelewa kuwa huko ulipo hamna ulinzi tena na mtu yeyote anaweza kuingia na kufanya uhalifu kwani ata walinzi hawana zana za kiulinzi. PUMZIKA KWA AMANI JKN.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom