Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Ulimbukeni ndio malazi pekee yanayoliangamisha bara la afrika katika nyakati hizi ukiachana ukiritimba wa mataifa ya magharibi......kila mtu anaona kinyaa kujipambanua kwa lugha yake.....anaona ni fahari kutumia lugha ya mkoloni hata mahali pasipo na ulazima wa kufanya hizo....kibaya zaidi hata hicho kikoloni chenyewe hawakimudu.....mwishowe wanaishia kuchanganya lugha utadhani ni mseto wa makande..............UTUMWA WA FIKRA NI KITU KIBAYA SANA............
 
Mkuu Andrew hawa watoto wa dot.com hawatokuelewa kabisa.,! Watoto wenyewe shule mitihani wameshinda kwa madesa... Hii nchi hii ina safari ndefu tena sanaa na ndio maana kila mtu sasa anajiona anaweza kua rais wa nchi hii maana wananchi wenyewe ndo hawa "great thinkers"..madesa matupu kichwani hamna kitu.
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.
 
Looking at it from a rational point of view, its possible the snake is used to being around people (i.e., tame), and either somebody brought it with them to purposely let it loose in the vicinity of your house, or it may have escaped from human captivity somewhere around your neighborhood. Did you try to identify the snake, i.e., its type?
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.

Sasa kweli ulitaka polisi amuue nyoka kwa sub-machine gani wakati risasi zenyewe mbili tena za kuhesabu kila siku akirudisha bunduki kituoni?
 
Hujatoeleza ulifanya nini kumzuia asiingie ndani?
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.

kaka infwakti wewe ni nshomile
 
nadhani hapa swala sio nyoka,ila ndg Andrew Nyerere anajaribu kucheza na maneno kuficha anacho kieleza.tupo ktk heka hekea za kuelekea uchaguzi mkuu wa raisi.hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilivyosoma tu kwenye title BUTIAMA... ni lijua tuu ni huyu mtoto wa Nyerere. Pole sana mkuu
 
Andrew Nyerere kasema alisikia you were in trouble with the law or something... hujamjibu mbona?

Snakes are pre-programmed by nature to avoid all human contact. In fact, snakes fear humans more than humans fear snakes. Therefore its clear this snake is no regular snake aka "wild" snake.
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Sasa andrew nyerere tukusaidieje na sisi tupo huku mbali hivi jamani yaani mtoto wa mleta ukombozi Tanzania upo huko kijijini unalia na nyoka mwenzio riziwani anakula bata huku pole lakini hukufanikiwa kumwua au mpo karibu na kichaka.
 
Back
Top Bottom