Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Nakushauri umuone Kakende au Nyakageni manake hio ni kawaida kabisa kujigeuza kuwa Nyoka.
We ukiona nyoka ana macho makubwa yamepakwa km wanja hivi ujue ni hao jamaa wawili wako ktk patrol.
Wachawi wabaya sana hawa.
 
Last edited by a moderator:
"Ni maliasili zetu.... Tuzitunze kwa maendeleo ya kizazi cha sasa na vya baadae"
Kama Nyala...... Ndo angecomment.
 
Lakini hayo si ni mazingira tunayoyasikiaga kuwa yapo hapo kwenu
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Huyo atakuwa ni mtu flani ana muandama.na kufunga mlango upesi na kurudi ndani ni kuondoka dar kwenda butiama.ndio maana kamalizia kwa kusema soon atarudi dar. Fasihi iliyokwenda shule yaani yenye akili.
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

tuliwaona wale wagombea waliokuja kujiunga nanyi kwenye ile shughuli ya ukoo. Pasco wewe hujui kuhusu huo ugeni? hao wageni ndio nyoka ambao bwana andrew anasema amewafungia mlango maana yake hawakukubalika pale nyumbani butiama japokuwa hawakuambiwa moja kwa moja. andrew anatuma ujumbe mzito. mwenye masikio na asikie
 
Last edited by a moderator:
Daaahhh nimemkubali huyu jamaa,AN umezaliwa Africa kimakosa kabisa,hatujui kutumia ubongo wako kwa kiwango kinachotakiwa
 
Someone took me to task,a language purist,anauliza unajuaje nyoka ni he au she. Wewe ungemwita tu,it. Sawa. Hiyo ndiyo maana. Buddhists wanasema lazima tufikie nirvana so that the emotions do not interfere with the work of the mind. In this case,nimechachatika nimesahau sheria za sarufi.

Shkamoo bro
 
Nimekimbia nilipomuna xxxxx two metre black cobra,una wasiwasi na uanaume wangu? Wazo langu la kwanza baada ya kufunga mlango lilikuwa". Kesho asubuhi nitaenda. Dar es salaam" .

hapana safari ya dar es salaam isubiri kwanza mpaka matayarisho yakamilike.
naona matayarisho ya safari ya dar es salaam yamekwishaanza maana tayari habari za mume wa mheshimiwa jaji zimetua jf.
mi si wa kukushauri uzuri wa kuvuta subira kwani naamini walifahamu hili vyema. unajua safari ya dar ikianza hakuna kurudi nyuma. nakutakia subira njema.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Huyu jamaa akipost habari hapa wachache sana watamuelewa kwani ujumbe aupatikani kirahisi kama watu wanavyodhani.
 
Mkuu msome vizuri Andrew Nyerere, si kwamba hajui kiingereza isipokuwa kuna ujumbe anamaanisha, na pia he au she kwa wanyama hajakosea kama utakuwa umesoma literature... Jamaa ni msomi mzuri sana.

Mkuu sexologist hebu nisaidie maana nadhani kuna ujumbe sema huyu jamaa lugha zake huwa simuelewi...
 
I may say i am unlucky..inever enjoyed nyereres leadership,i hear stories and i read books about his time,i heard he was very smart n vry straight,when i was growing i never knew if nyerere had any son or daughter in ths country,i t ddnt thnk if some of his sons would be among us sharing stories,i thought they would be bussy running their companies and big hotels abroad for i thought their father made alot of money for he stayed in readership as a president for a long time than anyone so far,i doubt about his thnking capacity and working capability,why didnt he steal as others do? why didnt he take his children abroad for studies.? Where are his companies,where are his petrol stations,? He doesnot own even a mine site..? stop decieving us nyerere is not wat u say he was.a president who didnot steal?in africa.?no this is not true.!

Dah, nilidhani hizi "R" na "L" mnazikosea kwenye Kiswahili tu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom