Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nyoka atishia maisha yangu Butiama

We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.

Sasa babangu kama mlinzi wako hana bunduki kama ni majambazi wamevamia hapo saa hizi tunaongea mengine?
 
Ulimbukeni ndio malazi pekee yanayoliangamisha bara la afrika katika nyakati hizi ukiachana ukiritimba wa mataifa ya magharibi......kila mtu anaona kinyaa kujipambanua kwa lugha yake.....anaona ni fahari kutumia lugha ya mkoloni hata mahali pasipo na ulazima wa kufanya hizo....kibaya zaidi hata hicho kikoloni chenyewe hawakimudu.....mwishowe wanaishia kuchanganya lugha utadhani ni mseto wa makande..............UTUMWA WA FIKRA NI KITU KIBAYA SANA............

Mkuu msome vizuri Andrew Nyerere, si kwamba hajui kiingereza isipokuwa kuna ujumbe anamaanisha, na pia he au she kwa wanyama hajakosea kama utakuwa umesoma literature... Jamaa ni msomi mzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Andrew hawa watoto wa dot.com hawatokuelewa kabisa.,! Watoto wenyewe shule mitihani wameshinda kwa madesa... Hii nchi hii ina safari ndefu tena sanaa na ndio maana kila mtu sasa anajiona anaweza kua rais wa nchi hii maana wananchi wenyewe ndo hawa "great thinkers"..madesa matupu kichwani hamna kitu.

acha mambo yako wew! ww hapo umeelewa nin?
 
Nimekimbia nilipomuna xxxxx two metre black cobra,una wasiwasi na uanaume wangu? Wazo langu la kwanza baada ya kufunga mlango lilikuwa". Kesho asubuhi nitaenda. Dar es salaam" . Okay,.

Bila kujali kama unamaanisha ulichokiandika au kuna something else, brother, you made my day. What a comedian... Napata picha ulivyorukia ndani fasta... Mie nigekutwa juu ya meza ya chakula, pamoja na kufunga mlango. Nyoka!
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Kiinglish kaka.
 
I may say i am unlucky..inever enjoyed nyereres leadership,i hear stories and i read books about his time,i heard he was very smart n vry straight,when i was growing i never knew if nyerere had any son or daughter in ths country,i t ddnt thnk if some of his sons would be among us sharing stories,i thought they would be bussy running their companies and big hotels abroad for i thought their father made alot of money for he stayed in readership as a president for a long time than anyone so far,i doubt about his thnking capacity and working capability,why didnt he steal as others do? why didnt he take his children abroad for studies.? Where are his companies,where are his petrol stations,? He doesnot own even a mine site..? stop decieving us nyerere is not wat u say he was.a president who didnot steal?in africa.?no this is not true.!
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.
Hahhahahahhaa buku saba hapa wanatoka kapa Wallah nasema, kama uongo kaka MANI njoo hapa ukanushe aiseeee
 
Last edited by a moderator:
Duh sijaambulia kitu hapa ngoja nisepe zangu.
 
Hope the trip was not actually for you, may be some one else in your compound, However, the way you closed the door, the Snake might have been in disappointment with you, you have to apologize before He spit on your face.
 
We. Papa. Wemba nilisikia you were in trouble with the law or something. Well,yule nyoka kwa vile obviously alikuwa anataka kuingia ndani ya nyumba,. I just stepped back into the house and shut the door with quite a bang. Huyu nyoka alikuwa yuko karibu sana,mita moja u nusu hivi, na alikuwa very calm,kama vile mimi sio tishio. Baada ya hapo nikamfuata mlinzi,polisi nikamwambia,njoo hapa kuna nyoka anataka kunishambulia,bora uje na bunduki. Akaniambia hana bunduki.

Baada ya polisi kusema hana Bunduki nini kilifuata?
 
Back
Top Bottom