Mkuu sorry kwa tukio hili, ila nahisi leo hapo Butiama ama kuna mawingu, au mwezi mpevu!. Hili bandiko lako halijatulia kabisa tangu mwanzo!, hivyo naiona dalili ya ile hali yako ya zamani ulipokuwa Msasani, imekurudia!. Huwezi ku disclose sensitive security detailed information kwenye public domain!. Huyo askari wa hapo kwenu should have known you better, hakupaswa kukuambia hana bunduki, bali alipaswa kukuambia anaifuata, kwa sababu the way I see it, usikute hata huyo nyoka hakuwepo wala hakukuwa na nyoka yoyote!, bali ulikutwa na hali inayoitwa "highest state of mind suggestibility!", utaona chochote tena ungeweza hata kupiga kelele, kumbe hicho unachokiona is non existance bali kiko only on your mind!.
Mode: Jina la Andrew Nyerere ni very famous, hivyo nyinyi kama modes wa jf mlipaswa kuwa na profiles za haws famous people na kujua ni watu wa state ya aina gani, ili siku ya siku, wakipandisha kitu ambacho hakijakaa sawa, it is you duty to help them by protecting them, na kukihifadhi hicho kilichopandishwa for his own good and for jf good!.
Kipimo rahisi cha kuijua state ya mwandishi ni kujiuliza tuu, "what is the motive behind!".
Pasco