Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nyoka atishia maisha yangu Butiama

Nadhani huyo nyoka mtu...nani alikuwa huko butiama.hahahahaha
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Pamoja na kuishi na kusoma England,bado tu kiingereza ni tatizo kubwa sana,you were supposed to say,it was...and not he was...unaposema he was ulijuaje kama yule nyoka ni dume? mkuu rudi tena kwa Cameron.
 
REVELATION 12:9
And the great dragon was cast out, that old serpent, called the Devil, and Satan, which deceiveth the whole world: he was cast out into the earth, and his angels were cast out with him.

Enyi wajuzi wa lugha za watu, mnaomkosoa ANDREW. ...... SOMENI UFUNUO 12: 9
 
Post za Mr. Andrew Nyerere huwa naondoka na maana mbili au zaidi, ninauhakika moja ni sahihi.

Nakubaliana na wale wanaosema post zake zinaburudisha, by the way kiwango chake kiko juu, leo nimejiongezea kaelimu Nirvana Definition in Buddhism.

Ni watu kama Andrew wanafanya nifikirikie mengi ikiwa good support system ya watu kama yeye kama wanazopata huko magharibi, wanafikia hadi kiwango cha uProfessor au utaalamu wa hali ya juu.
 
Last edited by a moderator:
Kaka Andrew wachache sana watakuelewa kwani fasihi uliotumia hapa makanjanja na slow learners wangempata Prof Mwaikyusa (RIP) angewasaidia. Mimi nimekuelewa kuwa huko ulipo hamna ulinzi tena na mtu yeyote anaweza kuingia na kufanya uhalifu kwani ata walinzi hawana zana za kiulinzi. PUMZIKA KWA AMANI JKN.

Mimi mbona mwanzo sikumsoma sasa nimemwelewa vyema huyu jamaa ni soo
 
Last edited by a moderator:
Ni great thinkers kama alivo andrew nyerere mwenyewe ndio wanaoweza elewa andrew kamaanisha nini,wengine hapa wameshapotezwa maboya na hawajijui km wamepotezwa wanajifanya kumsahihisha mara english mara nyoka hana jinsia, think big, jf ya leo imevamiwaaaaaa na slow learners ambao hawasikilizi na kusoma kwa makini bali wanakurupuka kujibu wasichokijua.
 
Bora wewe useme mie nimewaambia huko pia...kizazi cha madesa hiki ubongo flava mwingii hata kwenye mambo ya maana..ndio maana hili li nchi kila mtu anataka kuongoza maana wananchi ndio hawa "they don't think between the lines"...wanapenda vitu rahisi rahisi tuu.
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Why are you using 'he' instead of 'it'.
 
Are yu The AN of Tambaza enzi zile za Yule mzee wa masharubu, Mr. Palanyo?? Or is this just a nick name?
 
Mshaambiwa mwenye nyumba kakimbialia ndani, mlinzia aliyeaminiwa naye hana silaha. . . . . .nyoka haogopi mtu. . . . . .

Kachumbari juu ya dirisha na sabuni za kuogea nazo humo humo hujui tena njia ya kwenda wala kurdi hapo uamue sasa sabuni ule kama mboga au utumie kachumbari wakati wa kufua. . . . . . .

Andrew Nyerere heshima yako
 
Last edited by a moderator:
Bora wewe useme mie nimewaambia huko pia...kizazi cha madesa hiki ubongo flava mwingii hata kwenye mambo ya maana..ndio maana hili li nchi kila mtu anataka kuongoza maana wananchi ndio hawa "they don't think between the lines"...wanapenda vitu rahisi rahisi tuu.

Waambie mkuu, madesa yana gharama sana na tusipoangalia Taifa litazidi kuangamia maana Maarifa yanapotea sana. Andrew Nyerere ka twist kidogo vijana wamepoteana kabisa. Nadhani kwa uzi huu ni vema sasa akina Invisible wakaona umuhimu wa kufungua Jukwaa la Fasihi tu. Kudos sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
which is which,wengine wanasema kakosea,wengine wanasema he is right-tusaidieni sisi wa shule za kata tuelewe anaongea nini
 
Sasa hivi as I was about to go out for a walk nilimuona nyoka anakuja anataka kuingia ndani ya nyumba. He did not seem to notice that I was standing there at the door. And now I will describe that snake. 1. He was black 2. He was as thick as my arm or as thick as a man's arm 3. He was two metres long.

Mkuu, una hakika kuwa huyo nyoka alikuwa mweusi? Na je unahakika kuwa huyo nyoka hukuingia nae ndani ndio ukafunga mlango? Navyomfahamu ni mweupe mwenye rangi nyeusi machoni, ni mnene sana ila hajawahi kukidhi njaa yake. Ni mrefu sana kuizunguka nyumba.
Hofu yangu tumemfungia tulimojifungia. Japo ni mweupe, hataonekana kwa vile rangi yake ni nyeusi.
Anaita sasa!
 
Waambie mkuu, madesa yana gharama sana na tusipoangalia Taifa litazidi kuangamia maana Maarifa yanapotea sana. Andrew Nyerere ka twist kidogo vijana wamepoteana kabisa. Nadhani kwa uzi huu ni vema sasa akina Invisible wakaona umuhimu wa kufungua Jukwaa la Fasihi tu. Kudos sanaaaa
Tufafanulieni basi ,wengine akili zetu kb1,ngoja nilewe kwanza labda naweza kugundua mleta mada amelenga nini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom