Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿ˜‡hii yako mkuu bado inafikirisha sana
kuna watoto pendwa humu JF, hawaguswi hata iweje,...na ukiwagusa unafatwa pm kuonywa, ukijifanya kuhoji, unapumzishwa kwanza,....ndo sababu wengi wamegeuza JF kuwa JUST for FUNNY,.....
 
Mara nyingi wanaopigwa ban n wale ambao wana mawazo chanya, sasa wakikutana na wenye mawazo hasi inakuwa mtiti hvy kupelekea kushtakiwa na hao wenye mawazo hasi na kupewa ban na mods wenye mawazo hasi ๐Ÿ˜Ž
Ndio kama mimi nilichapwa ban sababu tu ya kumwita yule popoma gentl ndio ahmed ally. Nafikiri alienda kushtaki. Nikachapwa ban
 
Kuna kipindi nilikuwa napigwa ban mfululizo mpaka nilianzisha uzi nikawaambia moderator inatosha sasa!..
Ndo hapo nikaanza kupumua vyema!, sasahivi nina kama mwaka ban nazisikia tu!, hata hivyo kiujumla naona ban zimepungua kwa member wote sio kama zamani.
zamani ban zilikuwa zinatembea mpaka owner wa mtandao alikuwa anapigwa ban!, moderator wazamani walikuwa ni chapa ilale..๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
BAN.
hivi hii kitu ni ya kuogopa? Watu wamekula Ban za week, za mwezi, za miezi, ikafikia hatua had modes wenyewe waka surrender.

Konki wa BAN ni mie hapa, JF ilifikia hatua kuanzisha uzi wa kupiga kura, wanaotaka nibaki, na wengine niondoke. kura zikapigwa, wakashinda waliopiga niondoke, nikaondoshwa mazima. Dakikaa za jiooooni yaan baadae sana, Nikarudishwa jamvini.

Kubwa zaidi, nikapata na Zawadi kutoka JF HQ.
JF idumu milele.
 
Unatamba au sio
 
Mh! ulipewa zawadi gani wewe komwe...?
 
Uliza JF HQ, wanatoa zawadi gani.
Na kukupa muhaho, nilipewa Pesa mingi tyuh
acha ukilitimba sema ulipewa zawadi gani, siwezi kuuliza jf na wakati aliepewa zawadi nipo nae na anaweza kunijibu kama unaona aibu nijibu hata pm..๐Ÿ˜…
 
Si nimesema, PESA.
vingine sikutajii, na natamba navyo hadi sasa.
Weuweeee, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom