Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Hivi unajuaje kama Fulani ndiyo kakuchongea,. Mie mbona sijawahi kujua nani kanisemea nipigwe ban
Alafu utakua ndo wew🤣🤣 yule si tuliraruana vibaya aisee dk mbili mbele mm nmepigw pin lakin yeye hawajamgusa
 
Ban n kama kifungashio Cha juice ya ukwaju unapo nunua pizza mkuu ivyo usiiogope👁️
 
kwa hapa nilpofika,...ninachojua ban ni maamuzi ya moderators tu ,....akiamua ule ban, unakula ban hata kwa kuperuzi tu nyuzi za watu bila kukomenti chochote,....🚮🚮😡
🤔🤔😇hii yako mkuu bado inafikirisha sana
 
Back
Top Bottom