Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Eti wakuu mbona sie wengine tunasikia tu hayo mambo ya kulishana bani?

Nyie wenzetu huwa mnaandika vitu gani humu?

Sasa jichanganye na hapa ule bani tena🤣
Mara nyingi wanaopigwa ban n wale ambao wana mawazo chanya, sasa wakikutana na wenye mawazo hasi inakuwa mtiti hvy kupelekea kushtakiwa na hao wenye mawazo hasi na kupewa ban na mods wenye mawazo hasi šŸ˜Ž
 
Huyu ajui utamu wa ban
utam upi uo mkuu?
Screenshot_20250329-104357_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom