Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Nyinyi mnaopigwa bani huwa mnaandika nini?

Kuna kipindi nilikuwa napigwa ban mfululizo mpaka nilianzisha uzi nikawaambia moderator inatosha sasa!..
Ndo hapo nikaanza kupumua vyema!, sasahivi nina kama mwaka ban nazisikia tu!, hata hivyo kiujumla naona ban zimepungua kwa member wote sio kama zamani.
zamani ban zilikuwa zinatembea mpaka owner wa mtandao alikuwa anapigwa ban!, moderator wazamani walikuwa ni chapa ilale..🤣
 
hivi inaruhusiwa memba mmoja kumlima bani memba mwingine?

eti wakuu?

natk nirare mbere na majamaa franifrani umu🤣
Sasa member mkipewa huo uwezo si tutakoma kuna wengine humu itabidi tu tusitumie na hizi akaunti maana zitakuwa zinapigwa ban mwezi baada ya mwezi..
member tuna report tu halafu ban anaamua moderator kutokana na sheria za jf.
 
hivi inaruhusiwa memba mmoja kumlima bani memba mwingine?

eti wakuu?

natk nirare mbere na majamaa franifrani umu🤣
Unajua wewe hupigwi ban kwasababu mwandiko wako hautishi
Sasa mtu unasema
Umu❌humu✔️
Nirare❌Nilale ✔️
Furanifurani❌fulani fulani✔️
😝🤣Mods hawakupig ban ili ujifunze kuandika
 
Sasa member mkipewa huo uwezo si tutakoma kuna wengine humu itabidi tu tusitumie na hizi akaunti maana zitakuwa zinapigwa ban mwezi baada ya mwezi..
member tuna report tu halafu ban anaamua moderator kutokana na sheria za jf.
daah😔😔wangekuwa wanaruhusu hata mara mojamoja huyu jamaa Bolotoba ana bahati sana🤣
 
Back
Top Bottom