waterproof
JF-Expert Member
- Aug 14, 2020
- 387
- 348
Vipi wadau me naona Roma ashushe moja ya kiwanaharakati tumemisi hivyo vitu sana maana sabufa zina vumbi mno
😂😂😂ataweza kwelKweli bwana halafu kama vipi amchane yule mtu mfupi kutoka chattle kama alivyomchana JK wakati ule na kutangaza hadharani kuwa wakimkata wamchinje wamtupe kwenye daraja la mkapa