Mkuu umetisha sana, napenda jinsi ambavyo huu uzi unapita mwaka mzima ila wakubwa wanakuja kukupa wimbo. Tuendelee na kazi. Ahsantengoma moja matata sana mkuu huu hapo
Mkuu umetisha sana, napenda jinsi ambavyo huu uzi unapita mwaka mzima ila wakubwa wanakuja kukupa wimbo. Tuendelee na kazi. Ahsantengoma moja matata sana mkuu huu hapo
Bendi ilikuwa inaitwa FM International mmiliki akiwa ni Mr Felician Mutta. Baadaye ndio ikaitwa FM Bando Wajela jela original then FM Academia. Zote hizo Nyoshi alikuwepo.Natafuta nyimbo za Mchinga Sound unaitwa Kaisi na enzi za Diamond Sound kuna band iliimba wimbo wa Hadija (jina la hiyo band siikumbuki)
Watu wanazo. Ila production6a wakati ule haikuwa nzuri sana kama sasa.Mkuu wimbo wa Hadija ulipigwa na bendi ya FM Musica International na ulitoka mwaka 1998 ukiwa ni utunzi wa Nyoshi William "El Saadat"Kupata original version ya wimbo huu ni ngumu sana ila live performances zipo
Si kweli huo wimbo siwa Njenje hata kidogo na wala hawajawahi kuupiga.Maprosoo ni Kilimanjaro band Njenje.
Kwa kusema kweli sio miiimi, sio sio sio miiimi...Ule wimbo wenyewe Kibinda nkoi hatuwezi kuupata wakuu? Nautafuta sana
Nenda ukurasa wa pili wa uzi huu, kuna mdau ameshautuma.Hawa watu walikuwa sio mchezo..alan mulumba..elystone..roger muzungu...ibonga jesus..liva hasan..frank alitalia katasinga..adolph mbinga..sekedia..mangustino richard..viuno vya kina kamuke sukari...silent inn ilikuwa haitoshi..ila wadau kuna nyimbo yao moja naitafuta sana..sijawah ipata..mwenye nayo please anitag..inaitwa Valentine day.
Mbona huo ukurasa wa pili hakuna??Nenda ukurasa wa pili wa uzi huu, kuna mdau ameshautuma.