Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

Kuna group lipo na baadhi ya hizo nyimbo hapo juu utapata, ukweli hizo nyimbo inavyoonyesha hazipatikani hovyo mtaani 7b nlienda Kariakoo hakuna. Nimejaribu kwenda TBC pale nikaishia kupewa ahadi hewa kwani niliambiwa zipo ila zipo kwenye zile tape za zamani. Kwa hiyo niache flash then zikiwa tayari atanijulisha ila mpaka wa leo hakuna. Nikajarib kuwasiliana na MKITO.COM wenyewe wakaniambia hawana hizo nyimbo. Ila nichek WhatsApp nikuunge chap upate zilizopo.

kiongoz yang ni 0785 022284 fanya hvyo
 
Wadau habari za leo, naomba mwenye link au nyimbo za band ya Diamond Sound ' wana ikibinda nkoi' anisaidie either kwa kunitumia whatsapp 0712 000 464, email abrahamashiraf@gmail.com or aweke link hapo me ntaztafuta.

Wakuu baada ya kadiri ya mwaka mzima baada ya kumshirikisha mdau wa Diaspora sasa nimezipata nyimbo kadhaa ikiwemo Neema. Hapa natumia iPhone kujibu, kesho nitaiweka hapa na nitakuwa naweka kwenye thread hii hii kadiri ya ninavyozipata.

UPDATE: Kamanilivyoahidi hapo jana; huu hapa wimbo wa Neema toka kwao wana Ikibinda Nkoyi...

Pakua Hapa
 
Shukrani sana japo mie huwa naishia kuupiga online tu nimejaribu mara kadhaa kuushusha nimeshindwa kaka!! Msaada pls
 
Asante sana. Jitahidi uturudishe nyumbani kaka.
 
Wakuu baada ya kadiri ya mwaka mzima baada ya kumshirikisha mdau wa Diaspora sasa nimezipata nyimbo kadhaa ikiwemo Neema. Hapa natumia iPhone kujibu, kesho nitaiweka hapa na nitakuwa naweka kwenye thread hii hii kadiri ya ninavyozipata.

UPDATE: Kamanilivyoahidi hapo jana; huu hapa wimbo wa Neema toka kwao wana Ikibinda Nkoyi...

Pakua Hapa

Nashindwa kuelewa kwanini laptop yangu haitaki huu wimbo kabisa. Inaniuma kichizi
 
Shukrani sana japo mie huwa naishia kuupiga online tu nimejaribu mara kadhaa kuushusha nimeshindwa kaka!! Msaada pls
Install download manager nzuri kwenye kompyuta yako. Jaribu Internet Download Manager ama browser extension kwenye Chrome na Firefox inaitwa GetThemAll.
 
Jumamosi ya leo marafiki wawili wawili mimi mkono kishavu naumia nenda moyo wangu ubaki na amani utakapo kwenda nakutakia kila la kheri utakae kutana nae umpe mapenzi ya kweli. duh valentine day hiyo hapo mulumba na kina kamuke sukari na marium zidane ikibindankoy hiyo
Huo wimbo nautafutaga naukosa, unanikumbusha mbali sana
Amevaa kimini amevaa bodi suti, kapewa lift kwenye gari ya kifahari, kalala kwenye hotel ya kifahari
 
Kama kuna mwenye huo wa Valentine Day na Jetou atushirikishe pia! Za kitambo ninazo nyingi sana, nimeweka kwenye public folder la Dropbox nitaziongeza kadiri ninavyopata muda.
 
Jamani habari zenu natafuta nyimbo zifuatazo,mchinga sound nguzo tano za mapenzi,mto wenye mamba wengi,neem neema rmx,bana betta wa beta musica,na wimbo wa juma kakere uitwao ndoa ya lazima,atakae zipata anirushie 0677529930
 
Back
Top Bottom