Wadau habari za leo, naomba mwenye link au nyimbo za band ya Diamond Sound ' wana ikibinda nkoi' anisaidie either kwa kunitumia whatsapp 0712 000 464, email abrahamashiraf@gmail.com or aweke link hapo me ntaztafuta.
Mkuu mbona you tube zipoo...tafuta humoo
Jaribu hii: download free diamond sound mp3 by stafa.
Naamini hapa utapata maana kuna collection ya nyimbo nyingi mchanganyiko.
Hata mimi natafuta hizi nyimbo sana, leo asubuhi nimejaribu kutafuta kwenye mitandao bila mafanikio kumbe kuna wengine wanatafuta pia!
kama vipi ajitokeze mdau atengeneze blog aweke sebene za zamani kama hizo tuwe tuna download. mie natafuta nyimbo kama mgema wa inafrica band, maprosoo (sijui hata kaimba nani), lightness ya twanga pepeta, hizo za kibinda nkoyi n.k 0714-421018. mwenye nazo anirushie kupitia watsapp
Kuna group lipo na baadhi ya hizo nyimbo hapo juu utapata, ukweli hizo nyimbo inavyoonyesha hazipatikani hovyo mtaani 7b nlienda Kariakoo hakuna. Nimejaribu kwenda TBC pale nikaishia kupewa ahadi hewa kwani niliambiwa zipo ila zipo kwenye zile tape za zamani. Kwa hiyo niache flash then zikiwa tayari atanijulisha ila mpaka wa leo hakuna. Nikajarib kuwasiliana na MKITO.COM wenyewe wakaniambia hawana hizo nyimbo. Ila nichek WhatsApp nikuunge chap upate zilizopo.