Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,467
- 11,641
- Thread starter
- #101
Mpe kitu cha Remy ongala kifo hakina huruma.
mkuu hapa tutakuwa tunajenga au kubomoa?
Mpe kitu cha Remy ongala kifo hakina huruma.
Mkuu ni unaandaa truck za disco nn?
mkuu ukiwa safarini ukaziweka si unaweza kuachia na steling kabisa kama unadrive mwenyewe raha zikikorea
Kwa nini? Ukizicheza hizi nyimbo disco itakuwa balaa. Ni nyimbo za hisia sio za kuruka ruka. Nimemuwekea baadhi, kama atazipenda atakuwa anachagua moja moja.
nenda kwenye nyimbo za country aisee utafurahi mpaka basi, mimi kila jioni na j.2 lazima nisikilize, kuna
1.your ma best frind
2. till the rivers all run dry
3.jamaica firewall
4.gamber
5.jamaica firewall
6.amanda
7.lucile
8.love is on roll
9.its good to see you
10.all i'm missing you
11.someone like you
12.we should be together
13.dont let me die
14.i believe you
15.sinorita
16.say it again
17. especilly for you
18.listen to the radio
19.just enough love
20.someone like you
21.i will remember you
22.lady
23.one more day
24.nikita
hapo bado judy boucher zimeshawekwa hapo juu, kuna julio iglesis, aisee uwa nahisi nipo kwenye sayari ya jupiter, huku nina nyagi yangu au grants basi full kampani.
NAKUPENDA TU---- dudu-baya.
Nakupa deducation ya nyimbo ya maxwell inaitwa fortunate
naitafuta
naitafuta
hii nyimbo naipenda jaman hata cjui kwa nn!Nimekusame lakin sintokusahau..by hamza kalala
kinyago cha mpapure 🙁
Historia lady jaydee...
skelelu
mgambo wanaruka na kukanyagana by juma nature
Sitaki demu wa juma nature
bado nipo nipo _FA
Alikufa kwa ngoma
Mwaka wa shetani -mh.Temba
Mtumie "sizitaki mbichi hiz"
Siku hizi unapotea sana ndg yang...juzi nlikuwa mkoani kwako
daaa mim iko mbali asaiv huku kwe korosho
Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo.
Mi natamani kumtumia maana ndo kitu anachokipenda.
Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mimi hii desturi ya dedication ya nyimbo sijaizoea na nyimbo sizijui.