ni above 25
Mtumie ya airtel money au M-pesa halafu unamsukumiamo na cash, atakupenda sana.
Sitaki demu wa juma nature
Alikufa kwa ngoma
dedication hukuandika kwenye barua uliyomtongozea.
kinyago cha mpapure 🙁
mgambo wanaruka na kukanyagana by juma nature
Zile za nakupenda hadi ziwa victoria likauke?
Colour of love Boys 2 men
Nakupa dedication ya nyimbo moja inaitwa Lately ya Tyrese.