Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

Ongeza na hizi

affairs of the heart - Damian marley (huu ndio wimbo naoskliza zaidi nikiwa mbali na mbebi)
Nice & slow - usher Raymond
best of me - mya
sure thing - miguel
so beautiful - asa
tonight - john legend
am - melanie fiona
fallin - Alicia keys
 
Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo.

Mi natamani kumtumia maana ndo kitu anachokipenda.

Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mimi hii desturi ya dedication ya nyimbo sijaizoea na nyimbo sizijui.
Kama una future nae mdedicate wimbo ulioimbwa na Chicago-Glory of love. Kama mchepuko mdedicate wimbo ulioimbwa na Taio Cruz-Break your heart
 

Attachments

wimbo wangu bora kabisa huo. Umekukumbusha wapi?
We acha tu mwana kuna vitu vingine inabidi kumezea tu maana, haya maisha haya.

Lazima uwe mwimbo wako bora Curious Yeyo alitulia sana, hebu angalia mistari alivyoipangilia

You my boo like Usher and Alicia Keys...
And everytime that you touch me girl you please my needs...
We like Georjy and Wiz...
JADA and WILL...
Lets shop till we drop out in Bev Hills...

Yeyo noma, na chunguza G Unit vibao ambavyo yupo(mjela jela) Yeyo utaona vinakuwa vimetulia(vikali sana) tofauti na Loyd Banks.

Bila shaka ushawahi kuisikiliza G Unit mixtape yao ambayo imebeba namba ya kuitwa (I smell pu##y) ambayo wamemdiss JA, IRV Gott, au kwa lugha nyingine wamewadiss Murder Inc kwa ujumla katika kibao kile Yeyo na Fity wameondoka utamu sana tofauti na Loyd, na vibao vingi vya mle vikali sana ni vile ambavyo Yeyo yumo
 
nenda atm mashine, toa kama laki 5 ivi alafu record ile mlio wa atm ikihesabu pesa trust me atakupigia mwenyewe!!!
 
You are my life -Michael jackson

You and i -One direction

Shape of you -ed sheeran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom