Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

Nyimbo ya kudedicate kwa mpenzi

yaani nimetengeneza collection moja ya hatari, ntakuwa namtumia mojamoja nadhan zitaisha mwakani

Hahahaaa hongera ila jitahidi dedication ziendane na msg isije ikawa umemmiss halafu unamtumia Basi nenda wa mo music.
Kitanuka mshikaji wangu.!
 
Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo.

Mi natamani kumtumia maana ndo kitu anachokipenda.

Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mimi hii desturi ya dedication ya nyimbo sijaizoea na nyimbo sizijui.

:lol::lol: umenifanya nicheke kweli, we sema asante tu maana unaweza kutona na wewe dedication maneno mengine yaliyokuwa kwenye wimbo yakamkwaza bure ukaja hapa kufungua thread mpya.
 
we ni me/ke kama me m2mie wa bryan adam unaitwa everthing i do.. kama ke ukim2mia wa celine dion - i love u itamfa zaid
 
Curious - Tonny Yayo
Na mzee Joe Thomas, naipenda hasa pale inapoanza Yeyo anapomuuliza mlimbwende "where you from" mlimbwende anajibu "Brooklyn"

Umenikumbusha mbali sana
 
Wakuu nimepata mpenzi mpya ila anapenda sana kutumiwa dedications za nyimbo.

Mi natamani kumtumia maana ndo kitu anachokipenda.

Sasa nauliza wazoefu ni nyimbo gani nimtumie maana mimi hii desturi ya dedication ya nyimbo sijaizoea na nyimbo sizijui.

Mtaa wa saba ya Mbaraka Mwin'shehe
 
kwa nyimbo bongo fleva za enzi zangu nilikuwa napenda kudedicate

Ziggy d eno mic

dudubaya-nakupenda mpenzi

hardman-tamala
 
•When u kiss me -Shania Twain
•I have nothing if I don't have you -whitney houston
•The best in me -Tyrese Gibson
•Right here waiting for u -bryan adams
•Heaven Sent -Keyshia Cole
•Little things -One direction
•Awena - Kassim Mganga
•Tushukuru kwa yote -Ditto
 
NASH MC - NILIVYOMPATA

#Ukiachana nae

P The MC - HUNA JIPYA
NIKKI MBISHI - FEEDBACK
NASH MC - TABIA
PHILLY TECHNIQUES ft P THE MC - BYE BYE

#Ukiona kama haeleweki hivi mpe

Nikki Mbishi - AU

#Kama anakuchuna mpe

SONGA - KIKOSI CHA MIZINGA

#Ukimwelewa sana mpe

KAD GO ft KINYE - NDEGE ASIYE NA MBAWA
AZMA ft CIANA - CLOSER I GET TO YOU

AZMA - MY GIRL FRIEND IS MY BEST FRIEND

#Kama ulikuwa unamkata funika mpe

SONGA - SORRY
 
NASH MC - NILIVYOMPATA

#Ukiachana nae

P The MC - HUNA JIPYA
NIKKI MBISHI - FEEDBACK
NASH MC - TABIA
PHILLY TECHNIQUES ft P THE MC - BYE BYE

#Ukiona kama haeleweki hivi mpe

Nikki Mbishi - AU

#Kama anakuchuna mpe

SONGA - KIKOSI CHA MIZINGA

#Ukimwelewa sana mpe

KAD GO ft KINYE - NDEGE ASIYE NA MBAWA
AZMA ft CIANA - CLOSER I GET TO YOU

AZMA - MY GIRL FRIEND IS MY BEST FRIEND

#Kama ulikuwa unamkata funika mpe

SONGA - SORRY

ahsante mkuu snipa
 
Last edited by a moderator:
:lol::lol: umenifanya nicheke kweli, we sema asante tu maana unaweza kutona na wewe dedication maneno mengine yaliyokuwa kwenye wimbo yakamkwaza bure ukaja hapa kufungua thread mpya.

ntakuwa makini sana kwa hili. Ila mpaka sasa hajaonekana kukwazika nshamtumia kadhaa
 
•When u kiss me -Shania Twain
•I have nothing if I don't have you -whitney houston
•The best in me -Tyrese Gibson
•Right here waiting for u -bryan adams
•Heaven Sent -Keyshia Cole
•Little things -One direction
•Awena - Kassim Mganga
•Tushukuru kwa yote -Ditto

appreciations mkuu, thanks
 
•When u kiss me -Shania Twain
•I have nothing if I don't have you -whitney houston
•The best in me -Tyrese Gibson
•Right here waiting for u -bryan adams
•Heaven Sent -Keyshia Cole
•Little things -One direction
•Awena - Kassim Mganga
•Tushukuru kwa yote -Ditto

nice vipi na zakuomba msamaha..
 
Na mzee Joe Thomas, naipenda hasa pale inapoanza Yeyo anapomuuliza mlimbwende "where you from" mlimbwende anajibu "Brooklyn"

Umenikumbusha mbali sana

wimbo wangu bora kabisa huo. Umekukumbusha wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom