Mhhh aise kweli bana
na hapo ametoka kwa wife au kwa gf wake
Kumbe wanaume hamuwezi kujiweka smart hadi msaada wa wanawake?
Kama bei ya soksi ni buku, kwanini mtu uvae soksi iliyochanika?
achilia mbali hiyo ya buku! jana yake kanirudia asubuhi, hajaacha pesa ya matumizi, watoto wanaumwa hakuna hata kuwajulia hali, nimkague ili iweje??? arudi alipolala, akaamkia wamkague na soksi na huduma nyingine zote atapata hukohuko anakopatia cku zote! 99% ya ndoa, naona wanaume WANACHANGIA SANA KUVUNJIKA KWAKE! NA KUPUNGUZA MAPENZI!