Nyeti za siri zinapochafukwa

Sawa.

Washairi mnatoa yale ambayo mmekusudia kuyatoa, huku nyuma ya pazia mnakana kwa mgongo wa sikumaanisha hayo.

Sitaki kuamini kwamba my swahili ni mbaya ipelekee kushindwa kuelewa what was the essence of this THREAD.
 
Inawezekana kabisa ni 'coincidence...!!!' Mubashara wa kile kinachojiri na kusemwa kama si kujadiliwa kila kona kimekutana uso kwa uso na andishi langu..Ama la VINGINEVYO[emoji2839]
 
Sawa Mshana Jr.

Coincidence exists though
 
Sawa Mshana Jr.

Coincidence exists though
Or else..,[emoji848][emoji2827][emoji3064][emoji2][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2839][emoji2839][emoji2839]
 
Mmh ! Unapaswa kupewa tuzo ya kiswahili wallahi !

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamme kuwa mmbeya hainogi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…