Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,886
- 858,767
- Thread starter
- #221
Trump hakuumwa! Mzee yule ni muongo kupindukia. Kila limtokalo mdomoni ni uongo kwa minajili ya kujinufaisha.
Boris si mzee kiasi hicho, ni wa miaka ya 50, ila usipojikinga, maradhi yatakupata. Kheri yake nchi yao ina Kila aina ya ujuzi juu ya matibabu.
Kwetu tunajinasibu kwa majengo tu, huduma hamna!