Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

NYERERE as a leader, was like other leaders; and a human.

1. Alikuwa na mazuri yake na mafanikio yake; AIDHA
2. Alikuwa na mapungufu yake.

Mijadala mingi inayoendelea, nimeona kuna watu wanaongelea mafanikio; na kuna wengine wanaongelea mapungufu; tatizo linakuja pale kila moja katika makundi hayo mawili kuona kwamba upande wake ndio sahihi. Wengine wametoa hadi kauli zisizokuwa na michango ya kudumisha fikra za kimaendeleo.

Sasa mimi nashauri kwamba NYERERE alikuwa na mafanikio na mapungufu. Tusiyakane mapungufu yake; bali kwa kuwa ashatangulia mbele ya haki; si vizuri kumkumbuka na hayo. Tumkumbuke kwa mazuri yake.
 
Ndio

mie nikimkumbuka huwa nalia!

Nalia kwa success na lia kwa mapungufu.

Nina ndugu zangu jeshini wamekuwa walemavu kwa ile vita, alafu kuna thread nimeona mkuu wa majeshi zamani anzungumza kusahauliwa kwao; kuna watu wanaleta kebehi za mtaani. Eti wanajeshi wanakumbukwa kuliko polisi. Tuwaangalie hawa wa chini!
 
Ni kweli kuna mengi Nyerere alifanya kwa manufaa ya Taifa, pili ni jambo la kushukuru kuwa alikuwa ni mtu mwenye akili timamu (ukilinganisha na wengine wa enzi zake, Mobutu, Bokasa, Eyadema nk). Ikumbukwe kuwa ujamaa ilikuwa fashion siku hizo, nchi nyingi zilisogelea mrengo wa kushoto kama njia ya kujijenga kiuchumi, kijamii na kisiasa. Tunashukuru angalau Nyerere alikuwa na busara za kuachia madaraka mwenyewe, na kuweka utaratibu wa Rais kuongoza kwa miaka kumi tu. Mapungufu ya Nyerere ni mengi, na wengi wetu tuliyashuhudia, wala sihitaji kuyaorodhesha. Tuangalie mbele, tujenge nchi, kila mtu kwa nafasi yake. Maendeleo ya kweli ya Tanzania yatatokana na jumuisho la jitihada zetu wote kwa pamoja. Nchi yetu itaendelea kuwa maskini kwa muda mrefu ujao, hivi ninavyoandika ninatumia umeme wajenereta, kwa gharama ya zaidi ya Sh 1000 kwa saa, kwa kila saa ambapo jenerata linatembea, Tanzania kama nchi inaingia hasara, kwa vile petroli inaagizwa nje. Ni mambo muhimu kama umeme, barabara, afya na elimu ambavyo vitatujenga.
 
Kuna watu wamo humu Jamvini kuwa ni Great Thinkers lakini kumbe ni Non Thinkers. Anayehoji alichofanyia nchi hii Nyerere na anayediriki kusema kuwa Nyerere hakufabya chochote humu hatufai japo kila mmoja anao uhuru wa kutoa maoni yake!!

Tunafahamu, kwa sasa yapo mafundisho yanayotolewa upande wa pili wa dhehebu fulani ( I will no mention it here) kutaka kuonesha Nyerere did nothing to Tanzania and to Tanzanians. We know that, and we have all their preachings at hand.

Wana JF hayo yanaitwa Watu wenye Mawazo Mtindi. Nadhani ni busara kutokujadili mawazo yao humu. Tunahitaji kujadili - DOWANS, MABOMU YA GONGO LA M, na mengine current yahusuyo nchi yetu.
nadhani lengo lao ni kujaribu kumfanya zuzu anayeongoza sasa hivi aonekane ni better than nyerere! hawa jamaa akili zao ni za kuambiwa tu ..huwa hawachanganyi na za kwao!!nyerere alikuwa na mapungufu yake mengi tu lakini bado hatujapata kiongozi kama yeye! just imagine tungepata rais zuzu kama huyu anayeongoza sasa hivi wakati tunapata uhuru....tungekuwa wapi????
 
Nyerere was a ceremonial leader. Kama angekuwa kiongozi mzuri kama sifa alizonazo basi leo hii Tanzania ha2kupaswa kuwa hapa. He was crazy. Tatizo ni historia yetu ime2ngwa kumsifia yeye 2. Watanzania 2uache ujinga wa kumuenzi jamaa kipuuzi na kuacha ku2mia akili ze2 kuwaza jinsi xa kujikomboa kwenye matatizo chungu mzima 2liyo nayo huku 2kishikia mawazo ya MWALIMU utadhan ha2na wasomi. Nyerere ha2mchukii ila kumpenda isimaanishe kufwata kila ki2 chake bila mantiki.
 
frankly talking, im sure, it is the right of any who perfoms good to be congrated, for that topic and discription in side it seems a man wants to under late mwl. withought any reasonable reason.


Mwl. was good leader in tanzania than any one among those who have existed after him, i could understend well if you could explain the weakness of Mwl comparing any leader (presdent) in tanzania, what u have said is very minor mistake, by the way mwl. was not an engle then as a human being had his weakness, but how big was a problem you must relate.


no research no right to speak, make research on your statement then come back with convising reasons i will understend. ningekueleza vizuri ila umeme umekata na muda wowote computer inaweza kuzima. kwa sasa naishia hapa.
 
Hili Kanisa katoliki kwanini wanachelewa kumpa huo UTAKATIFU. Wafanye apewe kabla ya Katiba Mpya; ili fikra zake zidumu!
 
This is a disgusting topic and should be deleted!!!! Hivi mtu na akili zake timamu anaweza kusema "Nyerere alikuwa na Mapungufu Mengi"> Unamcompare na nani? Nyerere aliichukua Tanzania akajenga umoja wa nchi ambao hakuna taifa lolote Afrika linao! Nyerere aliamua kuwa kile kidogo tulichokuwa tunapata kimsaidie kila mtu ndo maana akatoa elimu bure hadi chuo kikuu! Ni busara hizohizo zilizopelekea kuanzisha huduma bure za Afya! Ni huyu huyu ambao kwa kuchukia uvivu alianzisha nguvu kazi na siasa ni kilimo. Ni huyu huyu ambaye alianzisha jeshi la kujenga taifa ili kuwaweka vijana pamoja na kujenga undugu. Hakuamini katika siasa za udini wala ukabila kama wengine mnavyojaribu kumsema. Katika Afrika hakuna kiongozi aliyeheshimika duniani kama Nyerere. So where is this shit coming from? Upungufu pekee wa Nyerere ilikuwa ni kumpa Mswahili uongozi! Hapo ndo taifa likaanza kuyumba. Udini ukashamiri na siasa za kupendeleana na kuchaguana kwa misingi ya kidini zikaanza. Leo hii utakuta mtu anateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, Mkoa au balozi na hata jaji kwa sababu tu yeye anatoka katika dini fulani! Kama mnabisha, tangu enzi za Mwinyi nafasi ya Jaji Kiongozi imekuwa ni kwa watu wa madhehebu ya aina moja tu. Is it because they know better? No! It is because they want to strike a balance and compromise professionalism. Lets stop and think like sane people and stop this unnecessary blemishing of Nyerere who deserves nothing short of praise for what he did for this Nation. May God rest his soul in eternal peace.. Amen!
 
frankly talking, im sure, it is the right of any who perfoms good to be congrated, for that topic and discription in side it seems a man wants to under late mwl. withought any reasonable reason.Mwl. was good leader in tanzania than any one among those who have existed after him, i could understend well if you could explain the weakness of Mwl comparing any leader (presdent) in tanzania, what u have said is very minor mistake, by the way mwl. was not an engle then as a human being had his weakness, but how big was a problem you must relate.no research no right to speak, make research on your statement then come back with convising reasons i will understend. ningekueleza vizuri ila umeme umekata na muda wowote computer inaweza kuzima. kwa sasa naishia hapa.
i would have understood you better if you had put correct spellings and gramar or better yet kiswahili fasaha!
 
honestly speaking Mwl Nyerere was a great and a very intelligent person, na alikua na idea nzuri sana ambazo kama zingefanikiwa tungekua mmbali, walioharibu ni watenda kazi wak, na sioni haja yya kumcritisize mtu aliyekua na upendo,fikra njema na mzalendo kwa nchi yake kama Nyerere unlike viongozi tulionaosasa.
 
thanx mr. zanaki, umemjibu vyema, coz ukitaka pima jambo ni lazima uangalie ni nini kimefanyika, na ni nini kilitakiwa kufanyika, ama ulipaswa kufanya nini na je umefanya nini, ukiangalia alichofanya mwl. na uwezo wa kuongoza aliokuwa nao, mpaka sasa hatujapata kiongozi kama yeye, Mwl alikuwa na maono makubwa sana juu ya nchi yetu, ila wenzetu hayo hawayaoni wamekalia UDINI tuuu, hivyo vitu havitufikishi popote, mwl hakuwa mbaguzi, mdini na ndo maana hata leo mtu unaweza kuishi mahali popote na kuishi na mtu yeyote bila kumuuliza wewe ni dini gani!
 
Kuhusu muungano Shekhe wangu mlaumuni Karume kwani hakuwa na akili timamu alipoukubali? Mbona nyerere tu hawakuwepo viongozi wengine pande zote mbili waliohai uwafuate ukawalaumu? Hawa wazuri waliopo sasa mbona vita ni kali kisa vipimo vya kitaalamu vimeonyesha kunamafuta? Je yakitoboa uso wa dunia sikisiwa kitazama?. Wanaohubiri udini ukiwauliza nini maana yake tufanyeje? kimya. Nyerere alikuwa binadamu na makosa au kuteleza ni sehemu ya kila binadamu mwenye akili timamu. Humuoni Seifu makamu wa rais hata damu iliomwagika juu yake kwa watu kuamini alikua mkombozi leo agonga kuku kwa bata hajui hata idadi ya waliokufa enzi za chaguzi zote.
 
Nyerere was a dreamer,and he died dreaming.His ideology of utopian socialism cant be separated from where our beloved country stands right now.Unfortunately,his successors are even worse than him,with the current president completely failing to utilize his popularity whose basis is hardly to imagine.

This topic has not been ignored because of hypocrisy as suggested but as we all know Tanzanians are in so much suffering at present that they can hardly have time to look back.While it's worthwhile to focus in the past mistakes,it goes without saying that our present leaders have every avenue to rectify them,and put our country where it's supposed to be.

Mkuu angalia hizo 'bolded sentences' hivi umeshawahi kusoma kitabu cha JKN kinachoitwa 'viongozi wetu na hatima ya nchi yetu'???? utapata majibu ya shaka uliyonayo!!! he was a great thinker! Kwenye kitabu hicho amezungumza viruzi sana kuhusu viongozi wetu na uchu wao wa fisi wa madaraka!!!!
 
Binafsi nakubaliana sana hoja kwamba though Nyerere was intelligent but was very poor in Economic philosophies, alijali sana siasa bila kuangalia Watanzania tutapata nini kiuchumi, mbaya zaidi kujihusisha na vita visivyo na msingi kama vya Mozambique, SA, Angola na nchi zote za SADC, Nampa 40% success na 60% failure, so totally he failed!
 
Binafsi nakubaliana sana hoja kwamba though Nyerere was intelligent but was very poor in Economic philosophies, alijali sana siasa bila kuangalia Watanzania tutapata nini kiuchumi, mbaya zaidi kujihusisha na vita visivyo na msingi kama vya Mozambique, SA, Angola na nchi zote za SADC, Nampa 40% success na 60% failure, so totally he failed!
Waambie leo ndugu zetu wa Msumbiji, Afrika Kusini na Angola kuwa vita vyao havikuwa na msingi urudi hapa tujadiliane.
 
]Binafsi nakubaliana sana hoja kwamba though Nyerere was intelligent but was very poor in Economic philosophies, alijali sana siasa bila kuangalia Watanzania tutapata nini kiuchumi, mbaya zaidi kujihusisha na vita visivyo na msingi kama vya Mozambique, SA, Angola na nchi zote za SADC, Nampa 40% success na 60% failure, so totally he failed![/QUOTE]

Kimsingi nakubaliana na wewe katika hali ya kutokukubaliana. Nyerere ni kweli alikuwa na mapungufu yake. Lakini mara zote viongozi hupimwa kulingana na matukio yaliyojitokeza wakati wa utawala wao. Ndivyo umefanya. Hatahivyo, mapungufu yake hayalingana na ya sasa. Nieleze wakati wa Nyerere, mataifa kama Nigeria, Congo n.k. si yalikuwa yakichimba madini?? Lakini sisi Nyerere alisemaje?? Nakumbuka alisema, tuache madini yabaki ardhini, maana hayaozi. Siku watanzania wakisoma, watakuja kuyachimba wao wenyewe. Je, mgodi upi unamilikiwa na Mtanzania, kama yupi ana hisa ngapi?? Tazama, maprofesa wazuri tulionao, waliosoma enzi za Nyerere wako wapi leo, si wamekuwa infiltrated na siasa mbaya nchini?? Tazama mfumo wa elimu ulivyo tegemezi sana, lakini waliosoma enzi za mwalimu si unaona wengi wana ujuzi mkubwa wa kutengeneza ajira zao??

Matatizo ya sasa ni kwa ujumla ni makubwa ukilinganisha na enzi za mwalimu. Madini yanachukuliwa hovyo hovyo kana kwamba hatuna sheria dhidi ya uchimbaji wa madini hayo. Hali ni mbaya sana kwa sasa. Labda unaweza kusamehewa kidogo sana kulingana na post yako kuwekwa humu ndani mwaka 2006, lakini ningekushauri ulihariri upya.

Nyerere alifanya mambo makubwa: Alizuia rushwa, alikuwa na msimamo dhidi ya siasa na utendaji serikalini, mgawanyo wa rasilimali za nchi, udugu n.k.

Tafakari halafu uhariri au review post hii.
 
Dr. WHO, you need to think carefully why people have been praising Mwalimu before leashing out your blames. I have a feeling that your blames are misplaced and are a little bit emotional! No body has ever said Nyerere was perfect or angel. All we are have been saying is that Nyerere was a selfless, patriotic and visionary leader with a specific national agenda.

Whether his agenda worked or otherwise is debatable. The problem with our leaders today is that they are selfish and do not have any national agenda. That is why our leaders are trying to be a girlfriend of every big leader of the world. Bush and Blair on the one extreme and Gaddafi and Fidel Castro on the other. And their language ---begging.

Whenever Mwalimu met the so called superpowers of the world he would use the opportunity to sell his ideas and vision about development.
Brother nyerere did goodies bu there some things whichi should be in his so thought holistic file
 
Back
Top Bottom