Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

Nikimkumbuka Nyerere nakumbuka;

Chakula kwa kaya
Usafiri popote wendapo tabu
Barabara mbovu
Nguo, viatu, sabuni, soda kilakitu havipatikani
Kodi ya kicha lazima
Ukifanya biashara unaitwa mlanguzi
Ukija mjini unakamatwa unarudisha Gezaulole
Nguvu kazi
Ukifeli shule uwezitene kujiendeleza
Kila mwaka makampuni yetu wana-bail-out na taxpayer
Justice; nipesa yako-ukiwa toto wa mkubwa you are above the law
Bendera ya CCM ikipandisha lazima usimame
No freedom of expression
upeo wa wa-TZ ulikua mdogo
Majireni wetu wote walikua maadui wetu
Namengine mengi

Kiufupi Nyerere alitawala maiti kama alivyosema J Kinyata, Nyerere afufuke leo hawezi kuwatawala wa tanzania wa leo hata kwa mwaka mmoja.
 
kama rostam na sofia simba wanawatawala wa TZ leo hii, kitu gani kinachokufanya umuone nyerere atashindwa?
unamaanisha JK, SOFIA SIMBA NA RA NI WAJANJA KULIKO NYERERE, HELL NO
 
kama rostam na sofia simba wanawatawala wa TZ leo hii, kitu gani kinachokufanya umuone nyerere atashindwa?
unamaanisha JK, SOFIA SIMBA NA RA NI WAJANJA KULIKO NYERERE, HELL NO

Sababu moja, Viongozi wa sasa (on president level sio Rostam,sofia) at leaset wanakubali critism na kiasi fulani wanasikiliza, NYERERE aliitwa aambiliki na wanafunzi wake, walikua wameshachoka, wanajeshi walishajaribu kupindua.

Pili; wa TZ wa leo awawezi kuishi ktk mazigira magumu yaliyopita kipindi cha Mwalimu, wakati huohuo alikua akiwaambia wa Rusi wanaishi kam wa-TZ.

JK, BM Mwinyi wanatawala wa TZ wajanja, Nyerere alitawala maiti anasema anachotaka na anafanya anachotaka hakuna wa kumpinga. CCM oyeeeee, Zidumu fikra za mwinyikitiiiiiii

Nyerere katawala mait (J Kinyata)
 
Dr. WHO, you need to think carefully why people have been praising Mwalimu before leashing out your blames. I have a feeling that your blames are misplaced and are a little bit emotional! No body has ever said Nyerere was perfect or angel. All we are have been saying is that Nyerere was a selfless, patriotic and visionary leader with a specific national agenda. Whether his agenda worked or otherwise is debatable. The problem with our leaders today is that they are selfish and do not have any national agenda. That is why our leaders are trying to be a girlfriend of every big leader of the world. Bush and Blair on the one extreme and Gaddafi and Fidel Castro on the other. And their language ---begging. Whenever Mwalimu met the so called superpowers of the world he would use the opportunity to sell his ideas and vision about development.

You've summed up, need we say more?
 
Watu wote ni sawa is a bit complex. As a moral principle to underscore commitment to fairness this is impressive.As a practical guide it is pathetic, watu wote hawawezi kuwa sawa, it is a natural fact.Kuna wengine warefu, wengine wafupi, wengine wana low IQ, wengine wana high IQ.

Ukitumia watu wote ni sawa kama guideline ya kupata ufanisi utachemsha kwa kufanya the lowest factor kuwa the common denominator, thus boggling down everything.

Ndiyo maana societies zote zilizoendelea kiuchumi ni zile zilizoelewa na kukubali kwamba watu wote si sawa.Zile zilizotaka kufanya watu wote ni sawa bado ziko katika ujima na nyingine zimetupwa katika shimo la taka la historia kama ukomunisti.

Even in communism the politburo had dachas and shopped at separate supermarkets from the general populace.How can anybody still claim watu wote ni sawa bila kui qualify hiyo statement kwamba iko based on moral grounds na si working practical principle?
 
Last edited:
Asante mwali kwa kutuletea definitions za Ujamaa. Kuna watu wanapenda kupotosha mambo kwa kum-brand Mwalimu kwamba alikuwa Mkomunisti, Dikteta etc. etc. Katika Ujamaa wa Mwalimu, agenda ni kujenga nchi kwa misingi ya HAKI NA USAWA. Maelezo uliyoyanukuu kutoka kitabu chake cha 'UJAMAA' yanatosheleza sana kwa mtu mwenye kutaka kuelewa shabaha ya Mwalimu. Ni mambo ya msingi na ya kudumu, yanaweza kufanyiwa marekebisho ya hapa na pale bila kuua ama kuharibu misingi yenyewe.

Zidumu Fikra za Mwalimu zilizolenga kutetea haki za wanyonge!
 
Hongera mwali! kwakutoa somo la ujamaa sawa kabisa 'WATU WOTE NI SAWA' Lakini hapa usawa HAKUNA ,
Mfano: wa kesi ya kuku uswazi mahakamani mbese mbese au kuuwawa
wa vijisenti anabembelezwa.
Akisante mwali
 
ZIDUMU FIKIRA SAHIHI ZA MWALIMU, ZILE ZISIZO SAHIHI TUNAZITUPA KAPUNI
HAPA USAWA UNAOZUNGUMZIWA SIO UREFU WALA UNENE, USAWA HAPA NI KWAMBA
mahitaji yote muhim,u ya mwanadamu yapatikane, chakula, Malazi na mavazi, huo ndio usawa na sio mtu kuishi kwa mlo mmoja kwa siku, nk
 
Duh!, hizo ni nukuu za mtu aliekuwa na upeo wa hali ya juu sana,! msisitizo huo ulikuwa na nia ya kuwafanya wanadamu wote waishi kama wako duniani kama ulivyo mpango wa Mungu. Siyo huu wengine kama wako paradiso huku wengine kama wako Dafur!!
Mwalimu, huko uliko tuko tunaokukubali sana, ila yule mtu uliemkataa mwaka 1995 kwenye uchaguzi mkuu kuwa bado hajakua, sijui alizaliwaje! hakui tu mpaka leo! Walimpa ukubwa, hamna kitu zaidi ya matabasamu tuu!
 
Watu wote ni sawa is a bit complex. As a moral principle to underscore commitment to fairness this is impressive.As a practical guide it is pathetic, watu wote hawawezi kuwa sawa, it is a natural fact.Kuna wengine warefu, wengine wafupi, wengine wana low IQ, wengine wana high IQ.

Ukitumia watu wote ni sawa kama guideline ya kupata ufanisi utachemsha kwa kufanya the lowest factor kuwa the common denominator, thus boggling down everything.

Ndiyo maana societies zote zilizoendelea kiuchumi ni zile zilizoelewa na kukubali kwamba watu wote si sawa.Zile zilizotaka kufanya watu wote ni sawa bado ziko katika ujima na nyingine zimetupwa katika shimo la taka la historia kama ukomunisti.

Even in communism the politburo had dachas and shoped from separate supermarkets from the general populace.How can anybody still claim watu wote ni sawa bila kui qualify hiyo statement kwamba iko based on moral grounds na si working practical principle?

Kuna kitu kinaitwa context na ni tofauti sana na kukariri. Elewa ujamaa anaoongelea nyerere. Naomba kukuhakikishia hao unaosema wameendelea sera zao zina fanana na hayo mwalimu aliyoyaongea usiiangalie dunia kwa mtizamo wa America tu na England ambao hawapo katika ranking ya the most richest countries na welfare ya watu wao ziko low compared to countries like Norway, Japan, Canada na Switzerland. Alichokua anaongelea mwalimu ni definitions za property rights (The bundles of rights) na kuonyesha zipi ziwe public goods and public bads na zipi ziwe private rights; pia ni wapi private optimals zina differ na socialy accepted optimals and how and when do you need to compansate the loosers to have equity. Alikuwa anaeleza theories za kiuchumi kwa lugha ya mtanzania wa kawaida na sasa hivi hiyo inaitwa counter revolution neoclassical economic theories in human development. Wakati mwalimu aligundua hicho kitu zamani ila kwa sababu alikuwa mweusi na hakuweka kwenye journals za wazungu basi hazikukubalika lakini leo hii hizo nchi unazo tuambia tuwaige ndo eti wanamfundisha Felister mambo hayo hayo kwenda kufanya nchini kwake alete maendeleo meaning niliacha theories kwa baba wa taifa langu nakuamini weupe ndo wana akili kuliko yeye kumbe uwongo mtupu nayoyasoma hata mama yangu ambaye hajaenda shule anayaelewa kuliko mimi naepoteza muda wangu hapa ila sababu ya matatizo ya utumwa na kutokujiamini ndomaana nang'ang'ania kupata cheti ambacho yaliyopo ntayaacha huku huku sinta practice hata kimoja ila ntatumia kujidefend nao pale watakapojidai wananishauri nini chakufanya.

Mwalimu was putting the realities into practice. Alichukua ukomunist na ubepari aka u contextualise kitanzania ili alete maendeleo kwa watanzania. Ni hao hao mabepari wa dunia wanaoona free trade ndo itaongeza welfare ya dunia nzima na wanakubali kuwa hakuna perfect market so pale market inapo fail intervention ya government ni lazima kuondoa monopolies na externalities i.e negative and positive effects za transactions ambazo haziko institutionalised kwenye market frame work.
 
Watu wote ni sawa is a bit complex. As a moral principle to underscore commitment to fairness this is impressive.As a practical guide it is pathetic, watu wote hawawezi kuwa sawa, it is a natural fact.Kuna wengine warefu, wengine wafupi, wengine wana low IQ, wengine wana high IQ.
Ukitumia watu wote ni sawa kama guideline ya kupata ufanisi utachemsha kwa kufanya the lowest factor kuwa the common denominator, thus boggling down everything.

Ndiyo maana societies zote zilizoendelea kiuchumi ni zile zilizoelewa na kukubali kwamba watu wote si sawa.Zile zilizotaka kufanya watu wote ni sawa bado ziko katika ujima na nyingine zimetupwa katika shimo la taka la historia kama ukomunisti.

Even in communism the politburo had dachas and shoped from separate supermarkets from the general populace.How can anybody still claim watu wote ni sawa bila kui qualify hiyo statement kwamba iko based on moral grounds na si working practical principle?

Bluray,
Kwa arguments zako, humtendei haki Mwalimu. Unamgeuza zumbukuku ambaye hakujua wala hakuweza kuona hiyo complexity ya Watu wote kuwa sawa. Kwenye hiyo para yako ya kwanza na kwa 'ujikoni' wangu naona kama unarudia yale yale Mwalimu aliyoyasema: "Sisemi usawa wa urefu wala ufupi; kwa urefu namzidi Kawawa, sana tena. Sisemi maguvu, hata; nasema utu, watu, na ubinadamu wao. Kuna binadamu zaidi ya mwenziwe? Usisahau kwamba na yeye alikuwa msomi tena msomi mwenye high IQ. And I can dare say IQ yake ilikuwa higher kuliko hata hizo IQ za wanaotaka tuamini kwamba kwa kufikiri hivyo alichemsha!

Msomi na mkulima wa kijijini ama mbeba zege wa mjini wanatofautiana nini? Kimaumbile iwe mke ama mume hawatofautiani labda wale ambao kwa bahati mbaya wana ulemavu wa aina yoyote ile. Katika basic needs wanatofautiana nini? kila mmoja anahitaji kula - msomi anahitaji kula kama anavyohitaji mkulima na mbeba zege; anahitaji mahali pa kulala kama anavyohitaji mkulima na mbeba zege, halikadhalika mavazi. Hakuna anayelala kwenye nyumba mbili na vitanda viwili kwa wakati mmoja; hakuna anayekula milo ya kawaida sita badala ya mitatu etc etc.

Binafsi naamini kabisa kwamba kwamba statement ya Binadamu wote ni sawa inaweza sana kutumika hata kwenye working principals na kuleta uadilifu na ufanisi mkubwa katika maendeleo ya nchi. Hivi sasa tunapiga kelele ya maendeleo ya nchi kuzingirwa na kufifishwa na UFISADI kutokana na watu kutotaka kuwa 'SAWA' na wenzao kwa kutaka kujizolea na kujilimbikizia mali bila kuzitolea jasho!

Societies zilizoendelea kiuchumi angalia historia zao zilikotoka na watu wake ni kwa kiasi gani wanafaidi hiyo keki ya maendeleo? Historia za maendeleo ya nchi nyingi zilizoendelea zinatokana na udhalimu, dhuluma kwa binadamu wanyonge inayotokana na ukiukwaji wa concept ya USAWA!!!
 
Watu wote ni sawa... qualify hiyo statement kwamba iko based on moral grounds na si working practical principle?

We all practice what we believe in, don't you? Moral is the cradle of practice and, mind you, without this principle, apartheid would be there to stay in South Africa. Look at Barack Obama, he's implementing the CHANGE he believes in, yes he can...
 
Mwalimu aliyoyasema: "Sisemi usawa wa urefu wala ufupi; kwa urefu namzidi Kawawa, sana tena. Sisemi maguvu, hata; nasema utu, watu, na ubinadamu wao.

Did Nyerere really say that? Wow...he had a good sense of humor!

On a serious note, anybody with an ounce of common sense would know that "binadamu wote ni sawa" didn't mean to mean that we all have the same height, weight, color complexion, intellectual ability, etc. I don't know how anyone can possibly even think to think that somehow that's what it meant!!
 
Watu wote ni sawa is a bit complex. As a moral principle to underscore commitment to fairness this is impressive.As a practical guide it is pathetic, watu wote hawawezi kuwa sawa, it is a natural fact.Kuna wengine warefu, wengine wafupi, wengine wana low IQ, wengine wana high IQ.

Ukitumia watu wote ni sawa kama guideline ya kupata ufanisi utachemsha kwa kufanya the lowest factor kuwa the common denominator, thus boggling down everything.

Ndiyo maana societies zote zilizoendelea kiuchumi ni zile zilizoelewa na kukubali kwamba watu wote si sawa.Zile zilizotaka kufanya watu wote ni sawa bado ziko katika ujima na nyingine zimetupwa katika shimo la taka la historia kama ukomunisti.

Even in communism the politburo had dachas and shoped from separate supermarkets from the general populace.How can anybody still claim watu wote ni sawa bila kui qualify hiyo statement kwamba iko based on moral grounds na si working practical principle?

watu wote ni sawa in all aspects, apart from physical appearances. what you dont know is because you haven't learnt or experienced in life situation, to fully understand it, what you dont achieve is because you never commited to it.

however on an unequal societies, the ones you got your perspective from, some have huge advantages over others due to inequality through birth (advantage of better education, up bringing and being exposed to meanings of being responsible), its very important to train humans the right way for them to maximize their potentials. and when you start saying certain university are better than others at the same time this university take students mainly from private sector already your creating the future elite so classes are created, in this societies they do not occur naturally try investigating before commenting.

the difference between the societies
 
Haya mambo ya azimio la Arusha si kazikwa nayo Mwalimu,nani anayataka saa hizi
 
Haya mambo ya azimio la Arusha si kazikwa nayo Mwalimu,nani anayataka saa hizi

Wewe mzee inaonyesha hata imani yako uniamini kinafiki tu, huwaamini kabisa waliokufa!
Kwani naamini hata kwenye imani yako kuna mananabii/mitume waliokufa wakazikwa wakaoza hadi mifupa na nywele zao lakini unawaamini na kuzingatia maneno yao!! Inakuwaje unaamini watu waliozikwa na kuoza!?
 
Haya mambo ya azimio la Arusha si kazikwa nayo Mwalimu,nani anayataka saa hizi

Unajua saa zingine hizi dharau zetu na kijifanya kujua mambo ndio kitu kikubwa kinachotuondolea uwezo wetu wa kupambanua mambo, na hilo ndio lililo na linalorudisha nyuma taifa letu lenye neema zilizotunzwa na sera unazozikataa za Mwalimu, sijuhi kama Mwalimu asingefuata hilo Azimio na hiyo Miiko ya uongozi hii nchi sijuhi ingekuaje, kwa kifupi kutokana na kutoelewa kwetu nchi kama Norway, Finland na zingine za scandnavia wanatushangaa sana WaTanzania kwa kutomwelewa Mwalimu, Azimio la Arusha ni case study kubwa sana kwenye vyuo vya Norway na theory nyingi tu za Mwalimu wanazipractise na zinawork out, na baada ya kutuona atumwelewi mwalimu walikuja Tanzania kutusaidia kwenye hii self reliance, hao jamaa walikuja na DANIDA, FINIDA etc na walijikita sana kwenye vyuo vya VETA, lakini wapi wapo watu ambao wanajua kila kitu, miiko ya ungozi zirro,Lakini mimi nadhani ni sisi waTanzania tu tusiokuwa na uelewa sahihi wa kile mwalimu alichokuwa anazungumza, yeye alikuwa kwenye Dunia nyingine kabisa ambayo sisi bado hatujafika, lakini iam sure Wazungu wengi hata hao sisi tunaowaona mabepari wanamkubali na wanapractice baadhi ya theory zake
 
Bluray,
Kwa arguments zako, humtendei haki Mwalimu. Unamgeuza zumbukuku ambaye hakujua wala hakuweza kuona hiyo complexity ya Watu wote kuwa sawa. Kwenye hiyo para yako ya kwanza na kwa 'ujikoni' wangu naona kama unarudia yale yale Mwalimu aliyoyasema: "Sisemi usawa wa urefu wala ufupi; kwa urefu namzidi Kawawa, sana tena. Sisemi maguvu, hata; nasema utu, watu, na ubinadamu wao. Kuna binadamu zaidi ya mwenziwe? Usisahau kwamba na yeye alikuwa msomi tena msomi mwenye high IQ. And I can dare say IQ yake ilikuwa higher kuliko hata hizo IQ za wanaotaka tuamini kwamba kwa kufikiri hivyo alichemsha!

Msomi na mkulima wa kijijini ama mbeba zege wa mjini wanatofautiana nini? Kimaumbile iwe mke ama mume hawatofautiani labda wale ambao kwa bahati mbaya wana ulemavu wa aina yoyote ile. Katika basic needs wanatofautiana nini? kila mmoja anahitaji kula - msomi anahitaji kula kama anavyohitaji mkulima na mbeba zege; anahitaji mahali pa kulala kama anavyohitaji mkulima na mbeba zege, halikadhalika mavazi. Hakuna anayelala kwenye nyumba mbili na vitanda viwili kwa wakati mmoja; hakuna anayekula milo ya kawaida sita badala ya mitatu etc etc.

Binafsi naamini kabisa kwamba kwamba statement ya Binadamu wote ni sawa inaweza sana kutumika hata kwenye working principals na kuleta uadilifu na ufanisi mkubwa katika maendeleo ya nchi. Hivi sasa tunapiga kelele ya maendeleo ya nchi kuzingirwa na kufifishwa na UFISADI kutokana na watu kutotaka kuwa 'SAWA' na wenzao kwa kutaka kujizolea na kujilimbikizia mali bila kuzitolea jasho!

Societies zilizoendelea kiuchumi angalia historia zao zilikotoka na watu wake ni kwa kiasi gani wanafaidi hiyo keki ya maendeleo? Historia za maendeleo ya nchi nyingi zilizoendelea zinatokana na udhalimu, dhuluma kwa binadamu wanyonge inayotokana na ukiukwaji wa concept ya USAWA!!!

Mimi nimeenda mbali kuliko urefu na ufupi, basically nimesema kwamba kujaribu kujenga a classless society ni kujirudisha nyuma kimaendeleo kwa sababu ni kusema kuwa tutatumia standards za mtu wa chini kabisa, si watu wote ni sawa bwana? Basi hamna kum disadvantage yule wa chini, tunaondoa incentive ya kutaka kuwa industrious, basically tunatengeneza a welfare state.

Ndiyo maana wabongo mpaka leo kila tatizo "serikali hivi" "serikali vile" wakati serikali ndiyo watu wenyewe.Kwa sababu tushazoeshwa propaganda za "watu wote ni sawa" na kulipiwa bure shule pamoja na hospitali, si huduma kwa wote? Watu wote ni sawa?

Hapo hapo unaambiwa "mtu ni kazi" na "Kazi ni kipimo cha utu"

Sasa kama mtu ni kazi, na kazi ni kipimo cha utu, na watu tofauti wenye uwezo sawa wanafanya kazi zenye ufanisi tofauti, itakuwaje "watu wote ni sawa" isimame?

Nyerere amejaa contradictions!
 
Hii ya kazi ni kipimo cha utu ni ya nani? Kwa maana hai make sense kabisa...ingawa haiondoi ukweli kwamba binadamu wote ni sawa!

Imani ya CCM hiyo, ukiiweka katika perspective niliyoiweka hapo juu, "Kazi ni kipimo cha utu" na "binadamu wote ni sawa" zinaleta a philosophical contradiction.

Huwezi kuamini kwamba kazi ni kipimo cha utu, ukajua ukweli usiopingika kwamba kuna watu wenye nguvu na akili wanafanya biashara vizuri sana, na wengine wana nguvu na akili zile zile ni ombaomba, halafu ukasema "binadamu wote ni sawa".

Hata kama unataka kuiqualify kwamba wana uwezo sawa itakuwa fyongo bado.

The only way this would stand ni kama a moral principle, kwamba tuwa treat binadamu wote sawa, which create problems.

Kwa sababu mtu ambaye amejidhihirisha kuwa mjinga na mfuja mali akija kukuomba limited resources wakati mmoja na mtu ambaye amejidhihirisha kuwa industrious utampa yupi?

Utawapa wote sawa kwa sababu binadamu wote ni sawa? Au utakuwa practical na kumpa yule industrious kwa sababu ana chances kubwa za kufanya kazi kwa ufanisi?
 
Back
Top Bottom