Nyerere alishiriki Mauaji ya Kassim Hanga?

Status
Not open for further replies.
Mheshimiwa hapa ume offend sana,na ulichokifanya ni kutangaza vita na Muumba wa mbingu,ardhi na vilivyomo baina yake bila kusahau mimi na wewe.Mtume Muhammad(SAW) ataendelea kuwa mtume wa MwenyeziMungu despite the attacks from every angle,kwa mtu mwenye akili na kutafakari,angepata majibu ya haraka sana juu ya uislam.Ina kila sifa ambazo ,kwa mujibu wa adui zake,isingestahili kuendelea kuwepo.Madai yako mengi:waumini wake ni un educated,uncivilised,backwarded etc,but still it's the fastest growing religion in the developed countries ambako wana kila aina ya maendeleo.
We have no comparative military mighty but yet tunatumiwa kila aina advanced weaponry,psychological warfare etc....,sijitetei na wala silalamiki..kwa sababu muislam yyte ana expect kupata hizi consequences as the test of faith.What am trying to do is to assure u that....HAKUNA kitakacho angusha uislam katika hii dunia....utaendelea kuhimili vishindo vyote na itaendelea kuwa ndio dini ya haki mbele ya Muumba.Kwa hiyo ukifanyacho wewe na watu kama wewe ni kupoteza muda na kujiongezea stress za life
Muislam wa kweli kausiwa subra dhidi ya vitimbi muvifanyavo huku akiwa na uhakika kuwa no matter how....the truth always floats
above lies.

Nakutakia kila kheir mkubwa
Qadhi

Hakuna sababu za kujaa upepo.

Hiyo post yako NDEEEFU haina mantiki. Muhammad ni mtume wa wasilamu tu kwa wengine ni mtu wa kawaida tu, a mere NOBODY, even a CRIMINAL. The same kama watu kwene hii thread wanavyo-question u-saint wa Nyerere. It is the same democracy mzee. Hakuna cha adhabu za mungu wala nini hapa..hizo adhabu exists only to the people who believe in those adhabuz.
 
quote_icon.png
Originally Posted by Junius
Hapa ndipo ninaposhangaa pale huyu mzee anapoonekana kama nabii na baadhi ya Watanzania na zaidi "wenda wazimu" wa kutaka kumfanya "mtakatifu" wakati mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia.

ok ila huyo hapo juu haja offend sana siyo? kumbuka kuwa naye amegusa imani za watu hakuna
ovu lilojificha hapa, au umekurupuka tu mkuu, huo ni mfano kama alivyoutoa yeye,
ama ndiyo yale yale, haja aende kuku, akienda bata kaharisha?
 
I gree with you.........but wasnt he supposed to be taken to court for treason like the Hans Poppes in 1983?................tofauti ni kwamba Hanga was a strong politician......na Mwalimu hakutaka hii kitu.....ndio maana anampeleka kwenye mkutano wa hadhara kummaliza kisiasa na kibinadamu....mbele ya watoto(see the two watching mwalimu in the picture)

Kwa maoni yangu, nashare opinion ya Companero ktk post # 50. I think it was more complicated kuliko watu wanavyorahisisha.
 
Hakuna sababu za kujaa upepo.

Hiyo post yako NDEEEFU haina mantiki. Muhammad ni mtume wa wasilamu tu kwa wengine ni mtu wa kawaida tu, a mere NOBODY, even a CRIMINAL. The same kama watu kwene hii thread wanavyo-question u-saint wa Nyerere. It is the same democracy mzee. Hakuna cha adhabu za mungu wala nini hapa..hizo adhabu exists only to the people who believe in those adhabuz.

Akha....u saint wa Nyerere unahusishwa na utawala wake ya mtume ntofauti yake....mimi safiki kuhoji ya dini lakini ya siasa rukhsa...Nyerere hatoweza kuwa saint kwa sababu za siasa....sina hakika kama Mtume alikuwa mwanasiasa....
 
Sijawahi kusikia saint wa siasa...ndio naskia kutoka kwako. Chama gani au jumuia gani hiyo inayotoa hicho cheo?
 
Naomba niwawekee dondoo kutoka kwenye Utafiti uliozaa Kitabu cha Pan-Africanism or Pragmatism? Lessons of Tanganyika-Zanzibar Union:

Karume had an intense hatred for and suspicion of the educated...Within the Revolutionary Council, one after another, Karume eliminated the educated. Sometime in 1969, Kassim Hanga and Othman Shariff, were executed. After a stint of a number of ministerial posts in the Union government, Hanga fell out of Nyerere's grace for his apparent friendship with Kambona, who fled the country following the Arusha Declaration...In April 1965, Zanzibar sentenced [Shariff] to death on a charge of treason which was commuted to 10-years imprisonment by Nyerere. Shariff lived on the mainland but was not given any government post. Sometimes in 1969, Shariff and Hanga were alleged to have got involved in some conspiracy to overthrow the government. At Karume's behest, both Hanga and Shariff were arrested on the mainland and, after some reluctance on the part of Nyerere, were sent to Zanzibar where they were executed. There are gruesome stories of how Hanga was killed, some say by drowning, others say by beheading. Whatever the truth, there can be no little doubt of Karume's tactic of physically eliminating his opponents while terrorising potential ones"

Hiki ni kitabu kinachoeleza wazi kwamba ni Nyerere aliyemhadaa Toure ili akubali kumuleta Hanga. Nyerere kwa sababu yoyote ile alitakiwa ahakikishe usalama wake. kitendo cha kumpeleka Z'bar ilikuwa ni ruhusa yake kwamba auwawe. Kama alijuta baadaye na kutorudia tena hakumfanyi kwamba ni mtu msafi. Ni msafi leo lakini lazima tukumbuke uchafu wake wa nyuma.

Baadhi ya kurasa za kitabu hiki zina hadithi za ajabu juu ya Karume. Anaonekana alikuwa mlafi na mnyama wa ngono, racist, nk. Kwa mfano kuna sehemu inaelezwa kwamba alimuua bwana mmoja na baadaye akawatuma wafuasi wake kumuleta binti wa marehemu na kuanza kumuomba ngono!

Wote hawa sasa hivi ni watu wema saaana kiasi hakuna ubaya wowote unaosimuliwa.
 
Huyo aliuwawa na Mayahudi wakishirikiana na Karume. Nasikia walimlawiti sana jela kabla ya kumchinja. Sasa baada kusema hiyo, subirini sasa mla ngamia Sideeq ai-spy hii mada halafu aje kuwateremshia aya zake. Tuone kama atabaki mtu humu..
Bado hakuna aliye na uhakika Hanga alikufa kifo gani! Tutasikia mengi.
 
Nimekiona na si cha redio hiyo ni Public address system....MUONGO TENA...TUSI HILO KAKA..TUHESHIMIANE...usije jimwagikia usoni mwangu nikaungua(LoL)

"Public address system" maana yake nini mjomba? Umedai kuna kipaza sauti kimoja tu hapo na ni cha RTD. Hicho kingine kumbe umekiona pia? Ndo urongo huo sasa.
 
Wale wote munaodhani hawa jamaa walijuta kwa matendo yao, basi sasa hivi CCM iwasafishe kwa kutoa ukweli na uwazi juu ya kifo au vifo hivyo. Wafanye kama Ethiopia ilivyotokea kwa mauaji ya Haile Selassie.

Mbona baadaye Kaburi lake lilipatikana na akazikwa kwa heshima. Hao watetezi tuambieni alipozikwa, kubalini yaliyotokea wakati huo na tutamzika upya.

Pamoja na umri mdogo wa hao mabinti walioko mbele ya picha lakini wanaonekana kufahamu kitu kibaya kinachoendelea sehemu hiyo. Suppose ni watoto wake, leo hii wakiwa hai wanajisikiaje? Angalia upande mwingine, vipi kama angekuwa ni wewe mbele ya baba yako wakati ule!
 
Bado hakuna aliye na uhakika Hanga alikufa kifo gani! Tutasikia mengi.

Bahati mbaya anaefahamu hivyo ni Nyerere na wenzake, maana baada ya kukabidhi "bidhaa" alijuwa zitauzwaje na wanunuzi wake...ndiyo maswali haya hayakomi mpaka ukweli ujuulikane...Waarmenia wameuwawa miaka yapata 40 nyuma na Waturuki, leo hii bado wanataka dunia ijuwe kuwa dhambi ile ilifanyika na waliofanya watambuliwe kuwa walifanya na waombe radhi yaishe...tungeliona leo serikali ya CCM kwa niaba ya Karume and Nyerere and their henchmen, wanaomba radhi familia za wale waliouwawa,waliolazimishwa kuishi uhamishoni bila ya kupenda, walioteswa bila ya sababu, waliowekwa vizuini n.k, badala ya kupoteza mda kuwatukuza tu, hakuna ubaya muungwana kukiri kosa, ubaya kuendelea kujiona au kafanya ionekane kuwa ni msafi wakati picha inamuonyesha tofauti.
 
Hivi yule aliyepelekewa Yesu akanawa mikono ndo nani vile?wanatheolojia mpo?Yule aliyenawa mikono alishiriki kifo cha Yesu ama la?Maana si ailjuwa kabisa kuwa ataenda kusulubiwa na mayahudi lakini hakuzuia licha ya kuwa na uwezo huo?Labda nitapata mwanga zaidi hapa baada ya kuona alichukuliwaje mnawa mikono yule,sijui alikuwa mfalme Herode?

Kwenye picha sura ya mwalimu ilionyesha kuna something serious,kuna mwenye kuweza kutuwekea nakala ya hotuba hiyo?

Tunaweza kuona muungano ulikuwa na matatizo mengi,pengine mambo binafsi yakiingilia,sasa kama under utanzania,Kambona na kina Babu hawaku uwawa ama walilindwa,what happen to huyo Hanga?

Kama makosa aliyoyafanya yeye ni sawa tu na wezake hao kina Kambona,why him?kwani si mmesema hata Kambona alitaka kumpindua mwalimu,same issues with Othman and others,sasa kama mwalimu aliwa protect hao kina Babu et al,ina maana alijua kabisa fate ya huyo Hanga,kwamba atauwawa,lakini wengine hapa mnadai eti alijichimbia kaburi kwasababu alitaka kumpindua mwalimu yeye na Kambona,kama mwalimu alikuwa muumini mzuri wa muungano,then ange mprotect Hanga kama alivyomprotect Kambona,Abdulrahman Babu na wengineo,kwasababu makosa yao wote ni sawa...there's something missing here.

Yes mkuu body language normally communicate something.....hapana sura ya mwalimu katika hii picha ina maana kubwa katika hili sakata....si lazima awe ameshiriki kumuua lakini tension,ghadhabu iliyoonyeshwa na mwalimu wakati wa suala la HANGA labda lilimaanisha jambo fulani kwa karume na wafuasi wake
Yes mkuu something is missing katika mjadala huu....we do not need to be biased....doesnt help us ukizingatia watu tunaowazungumzia wameshakufa so far....ila kwa kujua mambo haya tutapata picha ya mambo yalivyokuwa, yalivyo sasa na yatakavyokuwa baadae...tusipuuzie mjadala mzuri sana

" add with yours"
 
Wote ni mavumbi na mavumbini wamerejea, tutaumiza kichwa bure ukweli upo kwa Mungu, hata kama alimuua ama hakumuua, alishiriki ama hakushiriki wote wapo mbele ya haki sasa na sisi tumebaki hatma yetu hatuijui.
 
ndo maana naipenda jf

nyerere hata kama hakushika panga whatever alishiriki mauaji ya huyu bwana hanga
kwa mawazo, kwa maneno na wengine walishirikui kwa vitendo nakwa kutimimiza wajibu
 
kweny hii picha kuna hawa watot wawili

mmoja anamwangalia mwalimu nyerere akiongea jambo juu ya Hanga
na mwingine anamwangalia HAnga, maana yake ni kwamba huyu anasikia kile nyerere anachosema juu ya hanga na haamini.

pembeni yako kuna mama mtu mzima kakaaa kainama kichwa na mkono uko shavuni anasikita kusikia damu isiyo na hatia ya bwana HAnga akisalitiwa
 
Hapa ndipo ninaposhangaa pale huyu mzee anapoonekana kama nabii na baadhi ya Watanzania na zaidi "wenda wazimu" wa kutaka kumfanya "mtakatifu" wakati mikono yake imejaa damu za watu wasiokuwa na hatia.

Hata Paulo kabla ya kuitwa Paulo aliitwa Saulo. Zinduka kijana!!
 
[/COLOR]

Yes mkuu body language normally communicate something.....hapana sura ya mwalimu katika hii picha ina maana kubwa katika hili sakata....si lazima awe ameshiriki kumuua lakini tension,ghadhabu iliyoonyeshwa na mwalimu wakati wa suala la HANGA labda lilimaanisha jambo fulani kwa karume na wafuasi wake
Yes mkuu something is missing katika mjadala huu....we do not need to be biased....doesnt help us ukizingatia watu tunaowazungumzia wameshakufa so far....ila kwa kujua mambo haya tutapata picha ya mambo yalivyokuwa, yalivyo sasa na yatakavyokuwa baadae...tusipuuzie mjadala mzuri sana

" add with yours"

A picture can speak a million words....ila nakala ya hotuba ingesaidia sana,ni wazi mwalimu alikuwa amechukizwa sana na sura yake si ya kawaida, inaonyesha "Kukasirishwa" flani hivi...Tumetoka mbali duh!
 
Hata wakificha kwa Mungu yatawekwa wazi tu

Ni bora ukweli uwekwe wazi,watanzania watamsamehe na si vyema kuendelea kuficha ficha mambo kama zamani,if we're to move forward as a nation,then everything should be out in the open....Mwalimu na yeye aliteseka sana wakati wa kifo chake wanadai watu,nasikia mwilini alikuwa na kama mapele flani aa madonda yaliyokuwa yakinasa kwenye shati lake na wakati wa kunasua alikuwa akilalama maumivu,dunia hii mahangaiko tu!Tukitubu Mungu atatuepusha na mabalaa!Ukweli uwekwe wazi kuwa siasa za wakati huo zilikuwa tofauti na mambo yaliyofanyika yalikuwa kwa maslahi ya Taifa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom