Nyerere alishiriki Mauaji ya Kassim Hanga?

Status
Not open for further replies.
Wewe unayejua unachokiongelea, sasa sema unachokijua. FACTS :- Nyerere yuko kwenye hiyo picha na haya ndio maelezo

AND this is supposed to be a FACT ABOUT WHAT? what is it supposed to mean? Si unasema June ameleta fact?
 
Hivi kwanini habari yoyote inayohusu historia ya Zanzibar huwa haitolewe maelezo yakutosha? Vyovyote vile lazima siku moja makaburi yatafunuliwa tuweze kupata ukweli!

Ni nani alimuua Hanga and co.?
- Col Bakari?
- Karume?
- Nyerere?
 
...Kwa hiyo unataka kusema kwene hiyo picha Nyerere anamchinja Hanga? LMFAO

Hata Sadaam na Mussolini na Ivan the Terrible walikuwa hawachinji wao wenyewe. Wao wanahukumu.

Picha inaonyesha Nyerere amemleta Hanga hadharani kumzodoa kwamba ni haini, kamhukumu bila mashtaka. Baadae kachinjwa.

Ni yeye Nyerere aliyetangaza kwamba Hanga ni haini. Na Tanzania haini adhabu yake kifo. Kwa hiyo Nyerere alionyesha kwamba Hanga anastahili kifo.

Alipomaliza kumhukumu akajifanya kumwachia kwenye mikono ya Wayahudi ili wakamuue wenyewe. Nyerere ana hatia.
 
Hivi kwanini habari yoyote inayohusu historia ya Zanzibar huwa haitolewe maelezo yakutosha? Vyovyote vile lazima siku moja makaburi yatafunuliwa tuweze kupata ukweli!

Ni nani alimuua Hanga and co.?
- Col Bakari?[/SIZE]
- Karume?
- Nyerere?

There you are.....Karume died before Hanga.....Nyerere is a 'saint' and therefore cannot kill
 
Hata Sadaam na Mussolini na Ivan the Terrible walikuwa hawachinji wao wenyewe. Wao wanahukumu.

Picha inaonyesha Nyerere amemleta Hanga hadharani kumzodoa kwamba ni haini, kamhukumu bila mashtaka. Baadae kachinjwa.

Ni yeye Nyerere aliyetangaza kwamba Hanga ni haini. Na Tanzania haini adhabu yake kifo. Kwa hiyo Nyerere alionyesha kwamba Hanga anastahili kifo.

Alipomaliza kumhukumu akajifanya kumwachia kwenye mikono ya Wayahudi ili wakamuue wenyewe. Nyerere ana hatia.

Soma 'madai' kwene posts za wengine kwene huu uzi ambapo wahaini hawakuuawa hivo hoja yenu haina mashiko.. BTW, bado tunajadili kilichopo kwene post ya June kwamba unadai ni fact..fact gani kwamba Nyerere alimuua Hanga..Picha haioneshi..maneno mengine yanayokutikana kwene post ni madai ..na wewe umeyawekea tafsiri kwamba Nyerere alijua kwamba Karume atamuua Hanga kitu ambacho huwezi kunithibitishia na kitabakia kuwa ni madai..

Je kuna jipya nisubirie kabla sijaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa?
 
sasa mnataka mkamfufue ili mmshitaki, mbona mnaongea mambo ambayo hayana kichwa wala mkia, mnachotaka haswa ni nini nyie wazenji? eleza hapa unachotaka kutokana na hii threat...tuwasaidie nini sasa?

Hii hoja naiona kama ya kichokozi vile. Aliyetaka kupinduliwa ni rais wa Jamhuri ya Muungano au Karume? Kama walitaka kumpindua Karume si ndiye mwenye visa na huyu mtu? Kama Nyerere alimrudisha Zanzibar si aliuliwa na Wazanzibari wenzake chini ya Karume ambaye ni mtawala wa eneo hilo? Kama karume hakutaka afe si angemwachia ili damu isiwe juu yake? Lete hoja nyingine after all wote hao Karume na Nyerere tayari wamekufa na hakuna mtu wa kujibu hoja zako
 
Soma 'madai' kwene posts za wengine kwene huu uzi ambapo wahaini hawakuuawa hivo hoja yenu haina mashiko.. BTW, bado tunajadili kilichopo kwene post ya June kwamba unadai ni fact..fact gani kwamba Nyerere alimuua Hanga..Picha haioneshi..maneno mengine yanayokutikana kwene post ni madai ..na wewe umeyawekea tafsiri kwamba Nyerere alijua kwamba Karume atamuua Hanga kitu ambacho huwezi kunithibitishia na kitabakia kuwa ni madai..

Je kuna jipya nisubirie kabla sijaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa?

Picha inasema mengi sana......angalia jinsi security detail ilivyomzunguka Hanga.....usifikiri ni hao magwandee waili waliokaa naye...hapo nyuma wote ni UwT....Sura ya Hanga is even resigned.........
 
AND this is supposed to be a FACT ABOUT WHAT? what is it supposed to mean? Si unasema June ameleta fact?

Wewe unayejua unachokiongelea, sasa sema unachokijua. FACTS :- Nyerere yuko kwenye hiyo picha na haya ndio maelezo
"President Julius Nyerere is pictured on January 16th when he addressed an open air rally where the detained former Tanzania Minister and Vice-President of Zanzibar was brought to face the people. Mr. Kassim Hanga (seated between two police officers) is under detention with a number of other top Tanzanians after allegedly boasting that he had been called from voluntary exile in Guinea to lead an army coup on Zanzibar."

ABOUT WHAT?, what a question. Ina maana hujasoma post. Majibu nimekupa, sasa wewe kama unachakuchangia changia..
 
na ally saleh,

kuna taarifa nyingi za kuwa rais wa kwanza abeid karume hakuwa mstahamilivu kwa wakosaji wake na wengi wa hao walipotea na hawakujuliana hadi leo. Baadhi ya waliopotea ambao hawkutolewa maelezo ni pamoja na mawaziri wake mwenyewe akiwemo abdalla kassim hanga aliyekuwa makamo rais kisha akapelekwa kuwa balozi nchini guinea.

Hanga alishushuliwa uwanjani na nyerere kwa kutakiwa akiri kuwa alikuwa na mpango wa kumpindua karume kisha nyerere akamleta zanzibar akijua kuwa atakuja kuuliwa…na ndivyo ilivyokua.

taarifa za watu waliopotea chini ya utawala wa karume hazina hakina lakini inaaminika ni karibu ya 400 hivi katika muda wake wa utawala wa mkono wa chuma.

nimepata kipusa cha picha ya siku ya hanga alipowekwa uwanjani huko dar es salaam na nimeona tuione na kujua siku ya mwisho hanga kuonekana hai hadharani ilikuwa vipi. Maelezo ya picha yalisema hivi:

president julius nyerere is pictured on january 16th when he addressed an open air rally where the detained former tanzania minister and vice-president of zanzibar was brought to face the people. Mr. Kassim hanga (seated between two police officers) is under detention with a number of other top tanzanians after allegedly boasting that he had been called from voluntary exile in guinea to lead an army coup on zanzibar.

n33dxl.jpg

image:© bettmann/corbisdate photographed january 16, 1968
location dar-es-salaam, tanzanian

nukuu:
Hanga ni huyo alie chini ya ulinzi wa polisi wawili.

Source: Mzalendo.net

rtd tu ndio walikuwepo enzi hizo(see the only microphone)..............no radio one and others......ah what a saint
 
Swali hapa ni Nyerere alishiriki haya mauji au lah? Je alijua kitachotokea baada ya Mr Kasim Hanga kurudishwa Zanzibar? Nyerere baba wa taifa, wote tunajua hilo, lakini je na yeye alikua na mapungufu kama sisi binadamu wengine? Kama yapo, ni dhambi kuyaongelea?
 
"President Julius Nyerere is pictured on January 16th when he addressed an open air rally where the detained former Tanzania Minister and Vice-President of Zanzibar was brought to face the people. Mr. Kassim Hanga (seated between two police officers) is under detention with a number of other top Tanzanians after allegedly boasting that he had been called from voluntary exile in Guinea to lead an army coup on Zanzibar."

ABOUT WHAT?, what a question. Ina maana hujasoma post. Majibu nimekupa, sasa wewe kama unachakuchangia changia..

Jibu swali wacxha hizo chenga za mwili unazojipiga..Rejea post yako nilionza kukujibu..Umesema June ameweka FACTS nimeuliza ukiondoa picha ni FACT gani aliyoweka June, unabaki kumangamanga tu..Naona unanipotezea wakati na unanifanya nijireduce to ur mediocrity.
 
Wewe ndio unayejaribu kupiga chenga bila mafanikio, sasa uko frustrated, pole. Hayo maswali yako, WHY? ABOUT? one line childish questions ndiyo yanatupotezea muda. Afterall, hujalazimishwa kuchangia, na nani kakudanganya kuwa wewe uko juu :). You've reduced yourself to your normal size, usijaribu kujikuza. Its Junius not June
 
Niko frustrated na kuparticipate discussion na MPUMBAVU>>thats my only regret..nimekuuliza fact gani ambayo imewekwa hapo HUNA JIBU.IDIOT
 
Strong security is quiet reasonable to me haswa ikizingatiwa kosa alikuwa anatuhumiwa.

I gree with you.........but wasnt he supposed to be taken to court for treason like the Hans Poppes in 1983?................tofauti ni kwamba Hanga was a strong politician......na Mwalimu hakutaka hii kitu.....ndio maana anampeleka kwenye mkutano wa hadhara kummaliza kisiasa na kibinadamu....mbele ya watoto(see the two watching mwalimu in the picture)
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom