Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,684
- 14,001
Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.
Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.
Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.
Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.
Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.
Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.
Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.