Nyerere alikuwa mkoloni mwenye ngozi nyeusi

Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.

Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.

Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.

Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.

Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.

Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.

Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.
Wakati Nyerere anapigania uhuru ulikuwa hujazaliwa na pengine wazazi wako walikuwa bado watoto wadogo.

Kumuongelea Nyerere kwa kumlaumu ni kosa kubwa ambalo tunalirudia mara kwa mara. Tutafute visingizio na sababu nyingine zenye kueleweka, alikufa mwaka 1999, ni miaka 25 iliyopita ni robo karne nzima imeshaondoka.

Ni uvivu wa akili kumsingizia marehemu kwa kila baya la nchi hii.
 
MATESO ya hii Katiba wa kulaumiwa ni NYERERE na Karume na wale Wazee 20 jumla Watu 22
Wazee 10 wa Tanganyika wakiongozwa na Mzee Pius Msekwa na Wazee 10 wa Zanzibar Wakiongozwa na Thabit Kombo jumla yao ni Watu 22 walijitengenezea KATIBA kwa Manufaa yao
Mimi na wewe pengine tulikuwa hatuelewi nini kinaendelea duniani. Ulitaka waandike katiba kwa maslahi yetu?.
 
He!
We ndo miongoni mwa watetezi wa Nyerere na mitusi yote hiyo!
Hivi ni sahihi kumuongelea Nyerere aliyeachia madaraka miaka 30 iliyopita? Kama tinakwana siyo kwa sababu ya Nyerere bali ni kwa ujinga wetu.

Tukiendelea kumlaumu JK Nyerere tukiwa ni nchi yenye miaka 63 ya uhuru na yeye alitawala miaka 25 tu ni undezi na upumbavu.

Katika miaka 30 ya yeye kuwa nje ya madaraka kumetokea marais 5, bado msen-ge mmoja anaitwa SOUTHERN INDEPENDENCE MOV anataka kuendelea kumlaumu Nyerere.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya ICON na State strong man, Madiba ni ICON, kwanza hakulipiza kisasi kwa watesi wake (aliunda serikali yake kwa kuwashirikisha wapinzani wake ,na kuna wakati Prince M.Buthelezi wa IFP,aliachiwa Urais wa nchi),Madiba aliunda institutions huru na zenye kujitegemea, kama Bunge,( ndio maana EFF wanauhuru mno na hakuna anayelala jela kuwa kukutwa kwenye viroba ),JUDICIARY huru,yenye maamuzi huru hapa CJ anatukanwa kwa sababu amepoteza RESPECT, binafsi salute kwa CJ Francis Nyalali(MHSRIP),huyu ali pata heshima kwa utendaji wake, Madiba alitengeneza Katiba bora na kuifanya SA iwe nchi inayoongozwa kikatiba (constitution court ndio inayotafsiri sheria zilizotungwa na Bunge),president Nyerere (MHSRIP )aliyaona yote haya akaamua kuendeleza udikiteta wa kikoloni, je ni mwenye heri ?,it's a NO kwangu
"Mambo ya mwenye heri" yana utaalamu wake siyo SIASA HIYO!, DAUDI alichukua mke wa mtu(Uria) na aliua sana, lakini wa siku yupo MBINGUNI.
KATIKA maisha ya NYERERE angalia " intention ya NYERERE ilikuwa nini?
Je, aliminya demokrasia ili aibe AU asaidie watu?, KAMA uminyaji huo wa demokrasia ulikuwa na lengo la kusaidia watanzania wengi( Hiyo ni nia njema kabisa).
KWASABABU, baada ya UHURU wale waliokuwa wanapigania uhuru walikuwa wanataka wagawane Mali za TANZANIA ( Lakini, NYERERE aliwazuia. Ndio chanzo cha chuki dhidi ya NYERERE).
Na wengine walikuwa wanataka kuifanya TANZANIA kuwa nchi ya KIISLAMU ( NYERERE aligoma kabisa).

SASA katika mazingira yenye viashiria vya hatari namna hiyo unawekaje demokrasia?
Kwa akili ya kawaida sehemu yoyote yenye migawanyiko ya kidini huwezi kuweka demokrasia.( Kufanya hivyo ni kuwagawa zaidi).
 
Kwani kuhama kwako ukatoliki Kuna mpa hasara nani?, Hama kwa hasara yako mwenyewe.
KUMBUKA, DAUDI aliua Kwasababu ya mwanamke( alimwuua URIA). Sasa hivi DAUDI Yuko MBINGUNI.( Sasa, kutangazwa NYERERE kuwa mtakatifu Kuna ubaya gani kama amekidhi vigezo?)
Sawa boss, tusipangiane basi kama ni hasara au faida.
 
Matatizo ya Tz yamesababishwa naye
Acha uwongo wewe.
Kuuzwa kwa gesi ya Mtwara, kuuzwa kwa madini,kuuzwa kwa loliondo, ugomvi wa kuchinja mwaka 2012, umwagiwaji tindikali viongozi wa dini, magaidi wa KIBITI, nk, kwani yalisababishwa na NYERERE?
Watu wengine Wana akili ndogo sana ya kuchanganua mambo?
 
Kumbukeni tulipewa Uhuru mezani na kipindi hicho Wajinga walikuwa ni wengi wengi kweli kweli Wakabila walikuwa ni wengi wengi kweli kweli Wadini walikuwa ni wengi wengi kweli kweli naona Mwalimu aliona ajikite kwenye haya mambo ya msingi ambayo yangeliweza kulipasua Taifa changa.

Na kipindi hicho kuwa na tabia za "Kikoloni" ilikuwa ni sifa.
Ndio, nandokilichofanikisha misingi imara tulionayo leo, kuondoa ukabila, udini mfano mzuri ni jinsi kulikua na njama nyingi zakumpindua. Alikaa muda mrefu kwenye uraisi kwakua nchi ilikua changa na wakoloni walipachika vibaraka kuvuruga nchi. Bila Sheria ngumu nchi isingefika ilipo leo, tungekuwa tushavurugana
 
MATESO ya hii Katiba wa kulaumiwa ni NYERERE na Karume na wale Wazee 20 jumla Watu 22
Wazee 10 wa Tanganyika wakiongozwa na Mzee Pius Msekwa na Wazee 10 wa Zanzibar Wakiongozwa na Thabit Kombo jumla yao ni Watu 22 walijitengenezea KATIBA kwa Manufaa yao
Ni maajabu kumlaumu Nyerere alietunga Sheria zitakazoinusuru nchi kutokana na muelekeo wa kipindi alichoongoza. Nijukumu lako wewe kizazi Cha Sasa kuchukua alipoishia Nyerere nakupigana kama alivopigana na wakoloni tukapata uhuru, upiganie ukombozi mwingine. Sasa unataka ukafufue mafuvu yake yakarekebishe Sheria? Alifanya nafasi yake wewe umefanya yepi?
 
Ushahidi gani unaotaka,kila siku M7 anaongelea hili swala,wewe ndo mtoto
Sio kweli labda humuelewi Museveni. Kwanini Tanzania isiivamie Kenya au Malawi?. Kwanini iamue kupambana na Uganda ya Idi Amin peke yake?. Jiulize hilo swali.

Napokwambia wewe ni mtoto mdogo namaanisha huna kumbukumbu za Uganda kupiga kule Mutukula na sehemu ya Mkoa wa Mwanza. Amin alituletea dharau na tukamshughulikia yeye na wanajeshi wake wa kukodi kutoka Libya ya Ghadhafi.
 
Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.

Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.

Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.

Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.

Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.

Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.

Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.
Huna hoja wewe, umeshiba makande unaongea kitu usichokijua.....level yaujinga uliokuwa nao hutakiwi hata kuongoza familia yako.
 
Tatizo la Zanzibar si Nyerere. Tatizo la Zanzibar hata wao wenyewe Zanzibar hawajakubaliana kwamba wanataka kujitenga. Zanzibar ukienda Pemba utasikia habari moja, ukija Unguja utasikia habari tofauti.

Wazanzibari wenyewe hawajakubaliana wanataka nini.

Sasa hapo utamlaumu Nyerere vipi?

Mohamed Said

Poppy Hatonn

Napingana na wewe moja kwa moja kuhusu hili. Zanzibar hawataki Muungano, Pemba pamoja na Unguja kwa wote kabisa. Ila Tanganyika wanaitawala Zanzibar kwa kupitia CCM. Na CCM ilishakataliwa Zamanai Zanzibar. Na ndio mana wanalazimisha kwa njia yoyote ile CCM iendelee kutawala Zanzibar. Siku CCM ikitoka madarakani Zanzibar ndio itakuwa mwisho wa Muungano.
 
Zanzibar wakiamua kuukataa muungano CCM haitaweza kutawala huko wewe.

Hao Wazanzibari wenyewe wengi tu ni CCM, sasa utasemaje Tanganyika inaendelea kuitawala Zanzibar kwa kupitia CCM kama vile hakuna Wazanzibari kwenye CCM.

You are contradicting yourself.

People get the leadership they deserve, unaelewa maana ya huo msemo?
 
Kupitia matendo na fikra zake Mwalimu Nyerere alikuwa mkoloni wa waziwazi mwenye ngozi nyeusi.

Sio kweli kuwa Nyerere alichukizwa na ukoloni ila ukweli ni kwamba Nyerere ukoloni aliupenda sana ila alichukizwa na watu weupe kuwa tendea watu weusi.

Nyerere ukoloni aliupenda sana na ndiyo maana chini ya utawala wake vitendo vya kikoloni juu ya jamii yake ya watu weusi vilitamalaki.

Nyerere hakuona haya kupitisha mambo ya kikoloni yatakayo inyonga jamii yake anayoitawala kizazi cha wakati wake na kizazi kijacho hizi zilikuwa fikra kuu za wakoloni weupe kwa watu weusi.

Ndio maana Nyerere hakuona haya kulazimisha muungano wa kimabavu wa Tanganyika kuikalia kimabavu Zanzibar mpaka leo.

Nyerere hakujali kuhusu kupora uhuru wa wana Tanganyika na kupora uhuru wa Wazanzibari ili tu fikra zake zipate kutimilika.

Nyerere ukoloni aliuhusudu haswa ila hakupenda tu wakoloni weupe kutawala watu weusi.
Aliye andika haya bila shaka ni muislamu maana wanafundishana msikitini
 
Back
Top Bottom