da me cna uhakika na hiloUnaandika pumba tu, bottom line Nyerere alikiri mwenyewe kuwa yeye si malaika na kuna makosa aliyofanya. Au hilo nalo ni gumu kwako kulielewa?
Pumba zote ulizoandika sijaona hata moja la faida uliyoeleza aliloiletea Tanzania, zaidi ya kutuzidishia umaskini. Unajuwa wakati wa Nyerere hata "expectancy" ya maisha ya Mtanznia ilishuka mpaka kuwa ni miaka 45 tu!
Sijui alivaa hakujipamba, wewe unaona hakujipamba , yeye hapo ndio anaona kajikwatua, unafanya mchezo, kutoka kaptura za kimanamba hadi suti.
Bi mkuubwa elimu yako iko wapi sasa? Hata huwezi tofautisha ujinga, upumbavu na hekima au busara? Ningekushauri jambo uachane nalo kwakuwa linakulimiti uwezo wako wa kufikiri nadhani si muda muafaka bado.Tanzania na Watanzania tulijazwwa ujinga, amini usiamini, sikulielewa hilo mpaka nilipotoka nje ya Tanzania. Mpaka leo hii bado tunajazana ujinga.
Katika ujamaa tuliaminishwa mali ya umma ni kwa ajili ya wote, matokeo yake, tulipoona wananeemeka wachache, tukaanza kuiba, si mali ya umma? Wacha tujichotee. Matokeo?
Siasa ya ujamaa na kujitegemea haikuleta tija. Miaka 24 aliyotawala Nyerere ingeleta tija kubwa sana kama ilikuwa ina tija yoyote, matokeo yake tukawa masikini wa mwisho duniani, toka Mwingereza alipotuachia nchi tulikuwa wasafirishaji wakubwa wa bidhaa za mashamba nje ya nchi, tulikuwa wa kwanza katika Afrika, tukawa omba omba wa kwanza Afrika na tunajisifu.
Mwanasheria msomi ni Tundu Lisu au? Hivi ni kweli kila watanzania 4 mmoja ni kichaa? We ni mwanasheria kwani? Utawajaji vipi wanasheria wakati wewe si mwanasheria? Tundu????!!!!! Sijawahi kumjua ktk sheria nje ya CHADEMA mie, akina Chenge, Warioba, Shivji, Marando, Lamwai, wamekufa au?Naam, ina maana alikuwa anadananya kuwa kuna ambo hajayafanya sawa? Au unamaanisha nini?
Napenda uelewe kuwa Nyerere alikuwa ni kiongozi mmoja mzuri sana, wenye uelewa wa hali ya juu, mwenye kuweza kuongea na kumtoa nyoka pangoni na nyoka akatulizana, mwenye kuweza kuhutubia kutoka kichwani mwake na kuwafanya wote wanaomsikiliza wakubaliane nae, iwe msomi au kabwela. Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana ki akili, aongee na Watanzania au Wakubwa wa nje ya Tanzania basi utapenda unsikilize na atawakinasiha wote, kwa ufupi, kama Nyerere angekuwa ni "sales man" ningesema kuwa Nyerere anaweza kuwauzia Waeskimo barafu na wakainunua huku wanachekelea.
Hilo halina shaka kabisa. Lakini Nyerere hakuwa malaika, ni binaadam na binaadam ana makosa yake, hayo makosa ya great leader kama Nyerere ni yepi ili tusiyarudie?
Mojawapo, mimi nasema, ni la uchumi, Nyerere uchumi ulimshinda kabisa.
Msome Mwanasheria "msomi" hapa anasemaje: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu!
Hivi uchumi mnamaanisha nini hapo? Tofauti na Communist societies, nchi za kijamaa haswa Tz zilimtambua Mungu. Njia za kiuchumi za Nyerere ndo zile YESU alizozipendekeza, ndo zile ambazo wafuasi wa kwanza wa Yesu waliziishi, ndo maana nilikwambia unamjua umwambiaye mjinga?Naam, ina maana alikuwa anadananya kuwa kuna ambo hajayafanya sawa? Au unamaanisha nini?
Napenda uelewe kuwa Nyerere alikuwa ni kiongozi mmoja mzuri sana, wenye uelewa wa hali ya juu, mwenye kuweza kuongea na kumtoa nyoka pangoni na nyoka akatulizana, mwenye kuweza kuhutubia kutoka kichwani mwake na kuwafanya wote wanaomsikiliza wakubaliane nae, iwe msomi au kabwela. Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana ki akili, aongee na Watanzania au Wakubwa wa nje ya Tanzania basi utapenda unsikilize na atawakinasiha wote, kwa ufupi, kama Nyerere angekuwa ni "sales man" ningesema kuwa Nyerere anaweza kuwauzia Waeskimo barafu na wakainunua huku wanachekelea.
Hilo halina shaka kabisa. Lakini Nyerere hakuwa malaika, ni binaadam na binaadam ana makosa yake, hayo makosa ya great leader kama Nyerere ni yepi ili tusiyarudie?
Mojawapo, mimi nasema, ni la uchumi, Nyerere uchumi ulimshinda kabisa.
Msome Mwanasheria "msomi" hapa anasemaje: Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu!
Hakuwa katili, ila ningekuwa ni mm, Rwanda na Burundi ningezichukua hata kimabavu, ni zetu kiasili. Ila hatujachelewa bado, kidiplomasia tu Burundi ni yetu.Kwangu mimi kosa kubwa alilofanya ni kutokutuunganisha na Rwanda, tukapata TANRWA, tungewafaidi wale watoto wa kinyarwanda
Hana alipikosea hata punje, tukifanya marekebisho popote pale ndo tunapotea zaidi. Kumbuka, haya maisha ya leo, wizi, ufisadi, drugs, ushoga, usagaji, ukanda, udini, ukabila, ujinga, matabaka, kutokuwa na sauti kimataifa, ombaomba, kila kitu ni mazao ya kumrekebisha hayati kwa viubongo vyetu vya kuku.alifanya alipoweza,nasi turekebishe tunapohisi alikosea
Utajiri tu uuwazao pia ni ujinga na ushamba mkubwa ulokithiri. Si mimi nisemae, nabii Suleiman huyo, "yote ni bure" pia kabla ya hapo Buddha naye alinena, "maisha ulimwenguni ni shida tupu ziletwazo kutokana na tamaa 'za kijinga' za wanadamu" '' nyongeza ni yangu, 'za kijinga' ametushauri tuzifute.Tanzania na Watanzania tulijazwwa ujinga, amini usiamini, sikulielewa hilo mpaka nilipotoka nje ya Tanzania. Mpaka leo hii bado tunajazana ujinga.
Katika ujamaa tuliaminishwa mali ya umma ni kwa ajili ya wote, matokeo yake, tulipoona wananeemeka wachache, tukaanza kuiba, si mali ya umma? Wacha tujichotee. Matokeo?
Siasa ya ujamaa na kujitegemea haikuleta tija. Miaka 24 aliyotawala Nyerere ingeleta tija kubwa sana kama ilikuwa ina tija yoyote, matokeo yake tukawa masikini wa mwisho duniani, toka Mwingereza alipotuachia nchi tulikuwa wasafirishaji wakubwa wa bidhaa za mashamba nje ya nchi, tulikuwa wa kwanza katika Afrika, tukawa omba omba wa kwanza Afrika na tunajisifu.
Mkuu unayajua mashitaka aliyoyatoa Lucifer kwa Sir God? Kuanzia hapo utamjua baba wa demokrasia, vyama vingi, haki za binadamu, Uhuru mbalimbali, nk. Hapo ni kisiasa tu, ila ina mazao yake hata kiuchumi, eg free trade nk. Shikamoo shetani, you are so greetoo.As much as we hate to admit it, That is the realty and fact. Nyerere alikua kiongozi mzuri aliyefanya makosa makubwa sanaa. Na moja ya kosa kubwa ni kujilimbikizia madaraka na kuzuia namna yoyote ya kushauriwa au kukosolewa kwenye maamuzi yake. Na hii Katiba ya sasa ndio Ushahidi. Can you imagine katiba inasema raisi anaweza kumteua mtu yeyote kwa kadiri impendezavyo!! Maanake hapo hakuna kuangalia uzoefu, ubobezi wala historia na elimu ya muhusika. Na kumfukuza anaweza kumfukuza tu bila kuulizwa wala kushauriwa!!
Mbaya zaidi baada ya kumaliza madaraka na kuenjoy madaraka ya kifalme akatuambia "Kwa Katiba hii Kiongozi anaweza kua Dicteta!!" That was hypocrisy of the highest Degree.
Simply because he is a Christian. FaizaFoxy does not speak anything good performed by politician belonging to Christianity here on earth. Nyerere did his best. Let him rest in peace!Hilo ni kosa kubwa sana kati ya makosa yaliyowahi kufanywa na kiongozi wa nchi. Usilitaje wala usilikumbushe.
Umenena vyema sana, kwa kuongezea tu, Nyerere bado hajafa na hatokufa kamwe. Kama hawataki kumsikia kupitia sauti zake, wakitafute kitabu kinaitwa "Uhuru na umoja" 'freedom and unity' ni selected speeches na journals articles za hayati tangu yuko chuo mwanafunzi.Asalaam allekhum waungwana,
Katika mjadala huu, nimegundua kuwa:
1. Kuna wanaochangia hoja hii kwa hadithi za kusadikika (speculations / myths);
2. Wasomi wetu walioishi na Nyerere walishindwa kuweka kumbukumbu sahihi za utendaji wa Mwalimu kwa makusudi au kwa kutokuona umuhimu ili kusaidia vizazi vijavyo kujua Mwalimu alikuwa ni kiongozi wa aina;
3. Kushindwa kutofautisha nyakati;
4. Kuendeshwa na hisia (emotion).
Vyovyote iwavyo, Tanzania ni Nyerere na Nyerere ni Tanzania! Ndiyo maana kuna watu hata nje ya Tanzania wanaomba awekewe wakfu wa kuwa MTAKATIFU!!!!!!
Jengeni pale ambapo unahisi hakujenga na kama kuna nyufa, izibe ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania bora!
Na hilo ndo pungufu lake kubwa, halafu liko kwa waislamu wote. Mtume hakuwa hivyo kabisaaa, ktk moja ya mafundisho yake amewasisitiza ktk baadhi ya mambo wakibishana wawafuate Wakristu wakawabainishie, mfano mambo ya "nyakati na vipindi",. Hawa wa leo sijui hata wamerogwa, hawaelewi lolote.Simply because he is a Christian. FaizaFoxy does not speak anything good performed by politician belonging to Christianity here on earth. Nyerere did his best. Let him rest in peace!