Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Soma vizuri Post utaelewa maana yake. The opposite is the story behind
Nyie watu! You only know how to criticise?
Soma vizuri Post utaelewa maana yake. The opposite is the story behind
Safari njema Nyaronyo, huenda mtakuwa katika mahusiano mazuri na Kikwete, maana wiki iliyopita ulilalamika kuachwa katika uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba, licha ya kukidhi vigezo vyote
Nilichugundua ni kuwa wengi humu wametoka patupu kisha wakaamini kweli amehamia.
Aende tu,bora tufike 20 wenye nia 1 kuliko 1000 wanafiki na wasaliti.
ni mchumia tumbo sana.
Chadema imesambaratika kwa uzushi
kumbe ndiye huyu? the same Psychological problems as TSAVERY LWAITAMA.
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
CCM inapendwa jamani, tuache utani
Jina lenyewe ukiita tu vidonda vya tumbo hapo hapo.Kwani akihama lazima kila mtu ajue au sifa za kijinga tuu.
Sidhani kama CCM wanaweza kumpokea huyu hata wakipewa bure. Huyu ni mmoja wa waliomwandikia Rais KIMEMO cha kutaka ateuliwe kuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, taarifa zimevuja.
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Kweli Mungu hakupi vyote!!!
Nawe umeingia kichwa kichwa bila kufikiri. Rudia kusoma uelewe, au umeshapata sembe tayari.Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Hakika wewe ulipata division 5,Somo la fasihi lilikupitia pembeni sana.Nakushauri soma between lines usilete UMACCM WAKO wa kipimbirismNaam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Kuna vichwa vigumu duniani wakichanganya ugoro,sigara kuu ndo vinazidi kuwa vigumu zaidi.Bado people hazielew????
Kweli Mungu hakupi vyote!!!
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu