Ha ha haaaa na wewe umekamatika! Hapo mwendawazimu nani sasa! Wewe ama mleta uzi!Habari ya kiuwendawazimu
CCM inapendwa jamani, tuache utani
Maxence, neno M.a.w.i.o limewakosea nini?
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Umeielewa vizuri lkn hiyo makala hapo juu..!? Nakushauri usome tena mkuu.
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
Soma vizuri utaielewa vizuri hii makala mkuu, jamaa katumia tafsida kumponda rais wa nchi
Soma tena hiyo makala kabla hujashangilia!CCM inapendwa jamani, tuache utani
Soma tena hiyo makala kabla hujashangilia!