Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
Wewe na wenzako kibao ndio hamjanielewa!
Ok mkuu may be sijakuelewa
Wewe na wenzako kibao ndio hamjanielewa!
Nyie jamaa mna vichwa vigumu....! duh..!kama mawe ya mtoni..!
Chadema imesambaratika kwa uzushi
Mkuu soma vizuri, Jamaa amewakilisha kifasihi.
Ok mkuu may be sijakuelewa
CCM inapendwa jamani, tuache utani
CCM inapendwa jamani, tuache utani
Umeigizwa mjiji tena Mchambawima.Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
mwambie akamchukulie mke ndiyo atajua ni mtu wa kusamehe au la.
We siyo mzima hata kidogo
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu
Haaaaaaaa lione lilivofurahi.haaaaa asiejua maaana usimwambie maana
Huyu si alisema Kikwete anamchukia bila ya sababu? Kafuata nini tena huko CCM?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...cheere-kikwete-ananichukia-bila-sababu-3.html
![]()
hana lolote akafie kwa mtogole
Soma vizuri Post utaelewa maana yake. The opposite is the story behind
Naam, ngoma inogile, tutampokea tundu lissu na pro.safari na baregu sio mda mrefu