Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
- Eti naomba kuuliza kwani hapa tatizo lipo wapi? Kuna sheria ya Jamhuri kwa kuomba hela za kuwasaidia watoto ambao sio wa Kagasheki wala wa Catherine? Kupokea hizi pesa au kupokea kwa Sabodo tofauti yake ni nini? Hayo maadili ya Uongozi yapo wapi kwenye Sheria ya Jamhuri au Rasimu ya Katiba mpya?
- I mean what is the problem here? Somebody help me!!
Le Mutuz
Tatizo ni matumizi mabaya ya nafasi yake kama kiongozi.