Shemndolwa
Member
- Oct 13, 2012
- 14
- 2
Msigwa kwa jinsi navyomfahamu huyu waziri M 10 kwake nindogo sana! Yupo vizuri sana miaka mingi hata Kabla ya politics tafuta lingine foundation inahaki ya kuomba popote, sasa foundation imeomba kusaidiwa haijataja amount wa elewa 10m wakatae? Na barua ya December wamekuja kupewa June kweli lingekua shinikizo lawaziri wangewekwa mudawote huo walipwe miezi Sita baada yakutuma maombi? Hiyo m6.5 uliyopewa namafisadi wa ngorongoro ili uchafue watu itakusuta nafsi yako siku zote,naacha kutumia kimvuli chauchungaji siku zamwisho wewe ndoutakua kuni za kina Vero mafisadi ngorongoro jehanam.