NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

Status
Not open for further replies.
Inavyoonekana Msigwa ameingiza mkenge na GODBLESS LEMA. CATHERINE FOUNDATION inabamba ile mbaya Arusha Mjini. kwa vile Lema anaona hiyo ni kero kwake ndipo alipomuingiza mkenge Msigwa na kwa vile yeye ni kama amechanganyikiwa naye kaingia kiulaini. hebu fuatilia habari za hapa chini

MIMI NILIJUA TU, MSIGWA mhuni wa kawaida tu, sasa aibu yake, atuambie kama hizi NGO hazipo kisheria
 
Bado sijaelewa lengo la Msigwa kuambatanisha barua ya CATHERINE FOUNDATION ikiomba fedha za ununuzi wa madawati Arusha Mjini. ingekuwa busara KAMA Msigwa angetuambia kuwa fedha hizo zilitolewa na madawati hayakununuliwa. ila kama fedha zilitolewa na madawati yalinunuliwa hiyo itakuwa ni aibu ya mwaka kwa Msigwa

Msigwa alisema ni tofauti na kiasi kilichoidhinishwa na Bodi.
 
Kwa vile unatoka ukoo wa panya ni vigumu kuelewa kama Taifa linaangamia, tembo wanateketea
Tembo wanateketea kwa maneno ya poliicians? Fanya utafiti kwanza kabla hujarukaruka KINYULINYULI
 
Kiongozi wa serikali unapokuwa na NGO, halafu unazichangisha taasisi za serili ni aibu kubwa!
 
Yule mbwa yuko wapi? Naona sasa kabakia mwenye mbwa tuu..!

hizo picha za CATHERINE FOUNDATION ZIMEWAZIMA , mpigieni simu MSIGWA MUMMWABIE LIMEBUMA ajipange upya lakini awalipe chenu kama kawa japo mmeshindwa kuutetea uongo wake
 
Yaani Msigwa na mbwembwe zote kumbe analeta barua ambazo hazina element yoyote ya Rushwa. ni aibu kwa mbunge tena wa Iringa mjini kuleta uthibitisho dhaifu kiasi hiki

mjomba una roho ya chuma !
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Inasemekana hata hiyo boxer nayo imetoboka !

Baada ya hizo picha za CATHERINE FOUNDATION ni wazi MSIGWA ndo kavuliwa suruali, majibu ya WAZIRI NA BOSS wa NGORONGORO yatakuja kumalizia BOXER
 
Sasa kumbe taasisi iliandika barua yamaombi,kunatatizo gani? Navyoelewa hakuna ubaya wowote hapo sasa waziri kahusika nani I hapo hizo siasa za maji taka,nilidhani kapewa tu pia kwa M10 cyo pesa nyingi Hadi kumuhusisha waziri haijalishi ninani wake.nilidhani kaiba wameomba Ngorongoro wamepewa sasa tatizo liko wapi?
 
Ni mapema kuamini kinachoandikwa humu JF hasa jambo linalohusisha CHADEMA na serikali, lolote laweza kufanyika ili kuichafua serikali na hili ni wazi lina mwelekeo huo

mbona polisi waliamini clip ya kugushi ya mwigulu ikimtuhumu lwakatare na wakaifanyia kaz faster na lwakatare akasota sero miezi kadhaaa, kwa hiyo ikituhumu mwana ccm inakuwa sio ya kuaminika?
 
Baada ya hizo picha za CATHERINE FOUNDATION ni wazi MSIGWA ndo kavuliwa suruali, majibu ya WAZIRI NA BOSS wa NGORONGORO yatakuja kumalizia BOXER

Hivi ni kwamba huoni au unajichetua issue kutoka ktk hizo nyaraka ni:-
1. Ukiangalia ktk hao watu watatu barua ilipopita kwao ambao hopefully ni wahusika wamecoment kuwa hakuna budget kwa mwaka huo husika labda mwakani but kwenye comment no 4 imeamriwa apewe 10 million je hapo shinikizo la Waziri halijatumika????? ukilinganisha na mahusiano yao
2. Je ni kigezo gani Waziri alichotumia kumpungizia huyo mwekezaji tozo???? je ni sahihi ?
Afu hizo picha unazong'ang'ania ka justification ya kupewa hela anagawa hayo madawati au? alitoa madawati mangapi shule zipi sio mnatuletea picha ambazo mtu anagawa sabuni ambazo inawezekana pia kazipata kwa mtindo huo huo wa barua....
Tujadili hizo hoja hapo juu tuache personal attacks
 
Namsifu sana Kagasheki. Sio MKABILA wala sio MDINI. Kagasheki ni MTANZANIA kwa maneno, kauli na vitendo!
 
Dah serikali hii nani mwenye afadhali ya mwenzake? Kagasheki alivyokuwa anatoa macho kukanusha hii kitu utaamini kweli kasingiziwa kumbe duu......
 
Kwa mtu mwenye uelewa mdogo hawezi ona tatizo hapa! Taasisi nyingi zina sera ya kuchangia maendeleo ya jamii, ila kinachogomba hapa ni "conflict of interest". Hiyo Catherine Foundation si inajulikana ni nani? Kama NGO, inafanyiwa audit na nani kujua fedha zilizotolewa kweli zimekwenda kwenye eneo husika? NGO yoyote ingeomba fedha NCAA ingepata kirahisi hivi? Pili, hilo punguzo la malipo ya kitalu lipo katika sharia za umilikishwaji wa kitalu. Kama hapana, ni kwanini hilo punguzo lilifanyika??? Hii inaonyesha wazi kuna kitu si sahihi mahali fulani na kuna harufu ya Rushwa.
 
aiseee, ndugu yangu Kagasheki hili linahitaji ufafanuzi kabisa. hapa kuna muingiliano wa maslai
 
madawati hayo yamegawiwa shule gani na kwa idadi gani???
 
hyo ndiyo ccm kila m2 anakula alipo hongeraa kagasheki mueendelee kufilisi watanzania mpk tukome ili 2015 tusiwape kura!!!!!!!!!!
 
Ndani ya ccm hakuna aliye salama kiufisadi, ni deal kwa kwenda mbele,..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom