Kwenye hiyo barua ya Catherine Magige ni wapi Kagasheki alitoa comment au maelekezo kwamba huyo Mama apewe millioni kumi?
Tiba
Jamaa katoa hints tu nenda masijala utapata full info.
Kwenye hiyo barua ya Catherine Magige ni wapi Kagasheki alitoa comment au maelekezo kwamba huyo Mama apewe millioni kumi?
Tiba
Mie siajona ufisadi au ukiukaji wa maadili wa hizo documents, kwa sababu kila jambo limewekwa wazi na kupitia ngazi zote za utaratibu wa kiofisi.
- Eti naomba kuuliza kwani hapa tatizo lipo wapi? Kuna sheria ya Jamhuri kwa kuomba hela za kuwasaidia watoto ambao sio wa Kagasheki wala wa Catherine? Kupokea hizi pesa au kupokea kwa Sabodo tofauti yake ni nini? Hayo maadili ya Uongozi yapo wapi kwenye Sheria ya Jamhuri au Rasimu ya Katiba mpya?
- I mean what is the problem here? Somebody help me!!
Le Mutuz
Nafikiri mkewe atakuwa bado anaishi Russia na huyo Magige atakuwa ni wa mapozeo ya Bungeni tu...Hata akienda Bukoba vitu kama hivyo huwa anavibanjua sana ni Ktrr kwa kwenda mbele mwanaume yule,
Hata hivyo anasifa nyingine adimu sana...Kagasheki kila anapopata muda kuwa Bukoba huenda kule Katoro kumtembelea Shehe Mustapha ambaye ni mtaalamu sana wa nguvu ya giza hivyo Msigwa ajiangalie kwa umakini
nondo zitazo muweka pabaya kagasheki hizi
Tatizo ni matumizi mabaya ya nafasi yake kama kiongozi.
Huwezi kujua tatizo kama huna uelewa wa sheria, kanuni na miiko ya uongozi. Mingine huwa ni universal na mingine ni ya nchi. Kagasheki amevunja yote.
- Ok ni kifungu namba ngapi kimevunjwa? Na ni cha Sheria ya Jamhuri au Kanuni za Rasimu ya Katiba mpya?
Le Mutuz
Ndo umeandika nn??? Uache kujipendekeza na kujikombakomba
Maswali haya unge wauliza Basil Mramba na mtani wake Daniel Yona kwamba, walivunka sheria/ Kifungu namba ngapi cha sheria ya JMT?
Au kwa vile baba yako ali- FISADI na kuwadhulumu wafanyakazi wa iliyo kuwa Jumuiya Ya Afrika Mashariki upande wa Tanzania, na kwa vile hakuchukuliwa hatua (kama kawaida ya CCM kulinda Mafisadi), ndio umeona ni halali kwa Kagasheki kufisadi maliasili za waTanganyika?
Jiribu angalau kidogo kushirikisha akili pindi unapo leta/tetea hoja zenye maslahi ya waTanganyika. Sio eti kwa sababu umekuwa mjumbe wa sijui Jumuiya ya Wazazi , na kwa vile ndio unatafuta huruma ya kuambulia Ukuu wa Wilaya ndio ugeuke kuwa msema hovyo ili mgawa neema za uongozi akusikie!!
Hao wanaoambizana fanya hivi na vile ndo akina nani? Kama siyo uzushi ule ule wa CHADEMA wa kujifanya wana nyaraka kumbe nyaraka feki
- ha! ha! Msigwa mbunge mzima my super friend ninamuamini kununuliwa kwa Shillingi Millioni Sita na laki tano tu na kuuza utu na Uchungaji wake na this nonsense ishu? Inatisha sana, yaaani Ngorongoro wanaogopa wakaguzi wa Mhesabu so wakaaona dawa ni kumchafua Waziri kujilinda na maovu yao ysikaguliwe vizuri mbona wameupanda mkenge sasa!! duh! the mburulazz!!
Le Mutuz
ceiling ni 2m. Catherine foundation wamepewa 10m. Yaani mara tano (5) ya ceiling. Sasa anzia hapa kumtetea huyo waziri wakoBado sijaelewa lengo la Msigwa kuambatanisha barua ya CATHERINE FOUNDATION ikiomba fedha za ununuzi wa madawati Arusha Mjini. ingekuwa busara KAMA Msigwa angetuambia kuwa fedha hizo zilitolewa na madawati hayakununuliwa. ila kama fedha zilitolewa na madawati yalinunuliwa hiyo itakuwa ni aibu ya mwaka kwa Msigwa