NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

NYARAKA: Nani muongo kati ya Msigwa na Kagasheki?

Status
Not open for further replies.
msigwa ana geuza mada,alichopinga kagasheki ni uhalali wa huo mfuko.kwamba taratibu zote zimefuatwa.basi kama hivyo ndivyo atuonyeshe makosa yako wapi ktk hiyo docoment.
sasa analalamika juu maadili ya uongozi wakati muombaji alitimiza vigezo hakuna mahala alipo gush.

lakini hata hivyo, hii ni non profitable organisation.
 
kweli nimeamini CCM wote ukoo wa panya...sasa ni wazi kagasheki kavuliwa nguo atajibeba fisadi mkubwa
 
msigwa ana geuza mada,alichopinga kagasheki ni uhalali wa huo mfuko.kwamba taratibu zote zimefuatwa.basi kama hivyo ndivyo atuonyeshe makosa yako wapi ktk hiyo docoment.
sasa analalamika juu maadili ya uongozi wakati muombaji alitimiza vigezo hakuna mahala alipo gush.

lakini hata hivyo, hii ni non profitable organisation.

Mtajieleza tu. Ehee baada ya kuiba hzo akazipeleka wapi?
 
Baada ya kuzitazama hizo documents nimepatwa hasira vibaya sana!
 
Huwez kuliona neno rushwa mpaka upigwe kwa nyuma ya kichwa, maana kuna mgando kwa hapo.

kwa hio hapo rushwa ipo sehemu gani????
hapo ndipo uongo na uchochezi wa msigwa unapo dhihiri.

hivi mnawezaje kumtetea mtu wa hivi ?????
 
[h=2]Taasisi ya Catherine Magige Foundation yazinduliwa jijini Arusha leo[/h] josephatlukaza.blogspot.com

cb5d9f6a68L.jpg

Mbunge wa viti maalum vijana CCM mkoani Arusha Catherine Magige akiwa na baadhi ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi ulioenda sambamba na hafla ya utoaji wa msaada wa baiskeli za walemavu kutoka kwa Taasisi ya Catherine Foundation kwenye viwanja vya ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi.Picha na( Mahmoud Ahmad Arusha
 
Yaani Msigwa na mbwembwe zote kumbe analeta barua ambazo hazina element yoyote ya Rushwa. ni aibu kwa mbunge tena wa Iringa mjini kuleta uthibitisho dhaifu kiasi hiki
Yaank barua hii ni ya kubumba tu, kweli umaarufu wa kisiasa kuutafuta kazi , mpaka inafikia kuandaa nyaraka feki kama hizi, duh, siasa za kibongo bado sana, tusubiri jinsi KAGHASHEKI na huyu boss wa Ngorongoro watakavyomvua nguo
 
Mimi na wewe tukiwa na foundation mamlaka ya ngorongoro na tanapa wangetupa pesa?Huoni kuwa hiyo ni kutumia madaraka vibaya kwa kagasheki na mke wake?serikali ya CCM inaendeshwa vitandani na wake zao shiiiit!

Mkuu, Hifadhi zote zina utaratibu wa kuchangia miradi ya kijamii. pia hawazuii mtu yeyote mwenye hoja ya msingi kuomba. Msigwa ana kesi ya kutujibu. je fedha hizo baada ya kutolewa hazikufanya kazi zilizoklusudiwa?
 
Ni mapema kuamini kinachoandikwa humu JF hasa jambo linalohusisha CHADEMA na serikali, lolote laweza kufanyika ili kuichafua serikali na hili ni wazi lina mwelekeo huo

kalia hayo hayo,shangazi yako au mjomba wako kule kijiji anakufa kwa kukusa dawa.wenzako unaowatetea wanazidi kuneemeka angalia ukoo wa panya inavyo tafuna nchi.jiulize kama na wewe umo among the looters.au ndio wale wenzangu na mimi wa buku saba.
 
Yaank barua hii ni ya kubumba tu, kweli umaarufu wa kisiasa kuutafuta kazi , mpaka inafikia kuandaa nyaraka feki kama hizi, duh, siasa za kibongo bado sana, tusubiri jinsi KAGHASHEKI na huyu boss wa Ngorongoro watakavyomvua nguo

Mkuu, inashangaza watu kama hawa kwenye chama wanapewa cheo cha waziri kivuli
 
Tatizo la viongozi wengi ni kumshambulia mtoa hoja badala ya kujibu hoja.
 
Nilikuwa nashangaa ni kiongozi gani wa sisiemu ambaye sio mwizi/fisadi, ila leo nimepata jibu...

ukiambiwa CCM ni ukoo wa "panya " huwa huelewi mkuu wangu MD25 ?
 
Last edited by a moderator:
Ni mapema kuamini kinachoandikwa humu JF hasa jambo linalohusisha CHADEMA na serikali, lolote laweza kufanyika ili kuichafua serikali na hili ni wazi lina mwelekeo huo

kwa hyo unataka tuamini za ccm na serikali yake tu?
 
Na hii itapita kama mengine!!! Hii nchi hii!!!
 
...

huyooo huyoooo!!!

Mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kamata huyooooooo!!!!

Kafanya Ngorongoro mali ya familia yakeeee .....Kamata huyoooooooooooooooooo!!!!!!
 
Yule mbwa yuko wapi? Naona sasa kabakia mwenye mbwa tuu..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom