kamandamakini
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 186
- 151
Nani mwongo Kati ya Mimi na Kagasheki. Haya ndio maadili ya UONGOZI..? haiwezi kiongozi Waziri msimamizi wa Ngorongoro, mke wake apewe pesa kwa ajili ya foundation ya familia Yao. Eti Waziri anasema namfuata!
Ninachotaka ni Waziri ajibu hoja. Akisema Mimi natumiwa na mafisadi bado hujajibu hoja yangu akatae hapa Kama hajavunja utaratibu na kukiuka maadili ya UONGOZI
source: facebook ya msigwa
Ninachotaka ni Waziri ajibu hoja. Akisema Mimi natumiwa na mafisadi bado hujajibu hoja yangu akatae hapa Kama hajavunja utaratibu na kukiuka maadili ya UONGOZI
source: facebook ya msigwa