![]()
Hapo juu ni Yo Yo akiwa kwenye pozi la picha.
Chini ni Nyani Ngabu (katikati) akiwa kwenye pozi la picha.
![]()
Preta usinichonganishe mama, mi nilisema tu... 🙂
Je enzi hizo kwenye madisko walikuwa wanapigana?
NN, Swagga ndio nini?
Preta usinichonganishe mama, mi nilisema tu... 🙂
- vijana wa zamani hao
![]()
Dahhhh, umenikumbusha enzi za Sea View, hii ni 70s. Eddy huyu au sio? Mungu Amrehem, na Kalilkaili yu hai?
kalikali kavuta long time,ktk picha sio yeyeDahhhh, umenikumbusha enzi za Sea View, hii ni 70s. Eddy huyu au sio? Mungu Amrehem, na Kalilkaili yu hai?
hihihihihihihi aiseee nimecheka ile mbaya.....hili shati na mkoba masharobaro ndio wanaanza kuzivaa siku hizi...
loh guys! mecheka sana! hasa huo mkaptula wa NGABU..maweee...utadhani ako na ngiri maji! U made ma day INVIZIBO
Lengo lilikuwa ni kuwakumbusha tulikotoka. Mengine sasa ndo yanajirudia, na vijana wanajiita 'wa kisasa'!Hii balaa.. hapa nadhani no one hit ilikuwa ''Sussudio'' By Phil Collins
Nadhani kama niko sahihi enzi hizi hatukuwa na mikanda ya video.Nakumbuka enzi hizo ukimtongoza mwanamke lazima ubebe mkanda wa video UHV na magazezi ya Mfanyakazi
Lengo lilikuwa ni kuwakumbusha tulikotoka. Mengine sasa ndo yanajirudia, na vijana wanajiita 'wa kisasa'!
Nadhani kama niko sahihi enzi hizi hatukuwa na mikanda ya video.
Invisible, hivi unawajua kina Jimmy kerry, James Bond, Amita Bachann, Ranjit, Deni? Mwaka 1979 nyumba kwetu kuna video tunaangalia mikanda ya video, labda kwenu ndiyo kulikuwa hakuna mikanda ya video, si unajua tena tumetoka sehemu tofauti tofauti