Hahahahahahaaaaaaa kweli tumetoka mbali naukumbuka wimbo wa sugu ft king kiki-hapo zamani::::Lazima dingi avae bugaluu na raison ndo anaonekana mjanja na lazima apige pic ameshika radio,kiwanja enzi hizo alinunu sh.200/= mikocheni ni mikengeja na maji tupu
,sayansi k/nyama kote tunaokota korosho,Haider plazza,mayfair plaza,darvilla kote wanalima mpunga,oysterbay masaki kote wanakaa wamakonde,mji ulikua unaishia karume tu,posta mpya kulikuwa na mibuyu tu pale immigration,::invisible kama una pics za dar za zamani wakati pori tuwekee