anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 641
pweza
Huyo ndio "kitimoto" huko Japan. Wajapani wanapenda nyama ya nyangumi.View attachment 418038
Watu wamesimama juu yake
View attachment 418043
Mwili wake huu
Samaki huyu ameonekana Pwani ya Kilwa na watu wengi wamemiminika kumshangaa.
Ni mkubwa sana kiasi cha watu wenhi kupanda juu yake.
Wataalam wa Samaki watujuze ni aina gani ya Samaki na kwanini amepatikana Pwani ya Kilwa na ni salama kiasi gani kwa wanadamu.
Anaitwa FURU huyo.
Ni furu waasu!.....uliyo nifuru mkaruka?
Ni furu waasu!
Wanadai anakufa na kufufukaVp ni mzima au amekufa
Wanasubiri tamko kwa raisiMbona wamemlazia damu badala ya kuanza kupata nyama
umesahau pia,kuna hump backHuyu ni nyangumi,huenda kongowe ni kwa lugha ya ta. Lakini kiswahili ni nyangumi. Wako si chini ya aina 4,kwa haraka kuna killer whale,blue whale na sperm whale. Huyu ni sperm whale. Though bado kuna makundi kama ma tatu ya sperm whale.
Nadhan ni kweli huyu ni sperm whale maana nimejaribu kulinganisha picha anuai naona zinafanana.
jamaa anauliza huyo mdudu anakula nini baharini?ni kama hajui baharini kunaishi nini mkuuHahahaa! Kwann umejibu hvyo
Kanunujamaa anauliza huyo mdudu anakula nini baharini?ni kama hajui baharini kunaishi nini mkuu
Chamaki nchanga sio ? Hilo nalijua mkuu huo mfano nimetoa kwa watu ambao panya sio chakula kwaoPanya huko kusini ni mishikaki, au hujui?