Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Nyangumi aonekana Pwani ya Kilwa

Samaki au mnyama wa baharini hutambulika kwa kichwa, mtoa mada naomba kuona kichwa cha samaki huyu, au hana kichwa? Picha zinaonesha zaidi mwili, kichwa na mkia havionekani vizuri.
 
Huyu ndie samaki mkubwa kuliko wote anaitwa whale shark ni mpole sana u can dive and swim with them!ni samaki wahamaji na huja hapa kwetu kuanzia august mpaka december kwa ajili ya kugegedana ila kuna local population pe maeneo ya mafia inayokaa abot longer.
Kwa wapenzi wa utalii wa wa ndani hasa mwezi huu nduo muafaka wanaweza kwenda kuwaona wakiwa hai .mwezi oktoba watalii huja kutoka all over the word kuja kuwao a pale mafia kiurahisi kuliko kwenda kuwaangalia SA or maeneo mengine ambapo bahari si tulivu kwa ukanda huu.
Wageni huchajiwa kama 100$ per perso nhivi ila kama local unaweza kuwapata wale local boat men wanaotoa huduma za snorkeling 40$ mnachukua boti nzima.
Na gharama za hotel zipo nyumba nice 20$ per night au unawnda guest vichochoroni chini ya hapo na si tatizo kwa kuwa mafia is one of safesty place on earth!
Sawa
 
Heeeehh..... Bonge la Kambale. Huyu anasemekana ndo mama wa kambale wote wa tanzania baada yale wengine kuhama baharini yeye alibak. Sasa alipowamiss sana ndo akatoka kuwatafuta
 
Perege

Kutokana na uharibifu baharini hayo ndo madhara yake


Samaki wamekula mabaki ya hamira baharini, na sasa .....!!!!


Hii habari ilitakuwa kuwa na backup source kubwa kama ni kweli!!


anyway, nyangumi ni mkubwa kuliko huyo na anaweza akaonekana pwani nyingi tu akitaka!!

NORMAL!!
Mkuu nyangumi siyo samaki
 
Angetafutiwa namna ya kuhifadhiwa kwa ajili ya utalii, kuna yule mjusi mkubwa aliyechukuliwa na wajerumani kama sijakosea toka hukohuko Kilwa anawatajirisha wageni sisi tunaambulia hadithi
Dah T.z ni zaidi ya kichochoro
 
Samaki au mnyama wa baharini hutambulika kwa kichwa, mtoa mada naomba kuona kichwa cha samaki huyu, au hana kichwa? Picha zinaonesha zaidi mwili, kichwa na mkia havionekani vizuri.
Kasinde inaelekea wapendelea kichwa tu
 
Back
Top Bottom