ibuo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 464 Reaction score 439 Oct 17, 2016 #162 Kila kitu picha ngoja nikusaidie mleta mada
corasco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 3,663 Reaction score 3,397 Oct 17, 2016 #165 Watu watakata vipande na kuuza mtaani tchaa!
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 8,227 Reaction score 14,195 Oct 17, 2016 #166 Geza Ulole said: Napenda kuwaamsha wahusika yule nyangumi aliyeletwa pwani kafa akipasuka ataleta balaa la milipuko ya magonjwa ni heri afukiwe. Click to expand... Mkuu nadhani kuchoma moto awe majivu itakuwa suluhu
Geza Ulole said: Napenda kuwaamsha wahusika yule nyangumi aliyeletwa pwani kafa akipasuka ataleta balaa la milipuko ya magonjwa ni heri afukiwe. Click to expand... Mkuu nadhani kuchoma moto awe majivu itakuwa suluhu
avalanche JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 227 Reaction score 234 Oct 17, 2016 #167 Dah yani watu wanakata mapande kavisa wakale mzoga huu??? Hata hawajiulizi huyu mnyama nini kumemuua
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,229 Oct 17, 2016 #168 Halafu unaweza kuta huyo kawekwa hapo makusudi tuu na watu wanaofanya research zao hapo kila siku wanakusanya data. Au usijekuta ni bomu limetegeshwa hapo... au labda kameza Osama Bin Laden sasa kaja kumtapika na kafia hapo..... Ni mawazo ya Kasie tuu.... haya tuendelee
Halafu unaweza kuta huyo kawekwa hapo makusudi tuu na watu wanaofanya research zao hapo kila siku wanakusanya data. Au usijekuta ni bomu limetegeshwa hapo... au labda kameza Osama Bin Laden sasa kaja kumtapika na kafia hapo..... Ni mawazo ya Kasie tuu.... haya tuendelee
ZINDAGI JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 1,118 Reaction score 1,437 Oct 20, 2016 #169 SALOK said: Hakuna video yake mkuu.. Click to expand... Video Hiyo Mkuu